Kiatu cha dhahabu chanukia kwa Samatta
Ligi ya Mabingwa Afrika imefika patamu. Klabu ya USM Alger ya Algeria itakutana na TP Mazembe ya DR Congo katika mechi ya fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa kwenye Uwanja wa Du 5 Juillet mjini Algiers, Algeria kati ya Oktoba 30 na Novemba 1, 2015 na mechi ya marudiano itachezwa kwenye Uwanja wa Frederic Kibassa Maliba mjini Lubumbashi, DR Congo kati ya Novemba 6 na 8, 2015.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6rauvUctfaDPtJXsEIz-JKfTJGUF78SXtzMyvxb4odfm1-1q4R3K2Ba4l8rQM1fNsB2D3mU4nFNR2Knyb7sNIQd/article01F1005A400000578701_634x495.jpg?width=650)
NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Ronaldo atwaa kiatu cha dhahabu
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Jaja aota kutwaa kiatu cha dhahabu Ligi Kuu
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru
Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.
Na Hillary Shoo, IKUNGI
KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .
Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.
Na Hillary Shoo,
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HKcAnCpIDZ4/XlaZxqnrtlI/AAAAAAAEF0g/-XI3CKBhOtM90N1K8KQ4SI9zQCkoUHWXgCLcBGAsYHQ/s72-c/Award1.jpg)
TBL YASHINDA TUZO YA KIZIBO CHA DHAHABU, KUKIONESHA KWA WATANZANIA
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Brand za TBL, Pamela Kikuli alisema kuwa, TBL imefurahi kupata tuzo hiyo ambayo alisema kuwa imeongeza heshima katika jina la kampuni na bidhaa zake na kwamba wataendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi mahitaji ya wateja wake nchini kote.
“Kwakweli tumefurahi sana kupata tuzo hii ambayo ni ya...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!
Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu.
Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi kwani vepee? Maana kama sielewielewi f’lani hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu inakuwaje wazazi? Bati freshi hata kama chama langu hana kitu masti kitu cha holidei kihapeni.
Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu Saa Godi...