TBL YASHINDA TUZO YA KIZIBO CHA DHAHABU, KUKIONESHA KWA WATANZANIA

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imepata Tuzo ya Kizibo Cha Dhahabu inayomaanisha Ubora wa Kimataifa kutokana na uzalishaji wa bidhaa zake bora.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Brand za TBL, Pamela Kikuli alisema kuwa, TBL imefurahi kupata tuzo hiyo ambayo alisema kuwa imeongeza heshima katika jina la kampuni na bidhaa zake na kwamba wataendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi mahitaji ya wateja wake nchini kote.
“Kwakweli tumefurahi sana kupata tuzo hii ambayo ni ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog13 Dec
TBL Group yashinda tuzo ya mwajiri bora mwaka 2015
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa (kulia) akimkabidhi kombe la tuzo ya mwajiri bora kwa Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese (Kushoto) katika hafla iliyoandaliwa na Chama Cha Waajiri Tanzania na kufanyika katika ukumbi wa Mlimani City mwishoni mwa wiki ambapo TBL iliibuka kwa mshindi wa tuzo hiyo kwa mwaka 2015,(katikati) ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck sadiki.
Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group, David Magese akionyesha kombe la tuzo ya mwajiri bora...
11 years ago
Dewji Blog10 Sep
Bia ya Kibo Gold Lager ya SBL yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya ubora duniani ya Monde Selection
Na Mwandishi wetu
BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa.
‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji....
11 years ago
Michuzi
BIA YA KIBO GOLD LAGER YA SERENGETI BREWERIES LTD YASHINDA TUZO YA MEDALI YA DHAHABU YA UBORA DUNIANI YA MONDE SELECTION.

‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji. Bidhaa hizo...
9 years ago
Global Publishers20 Dec
Airtel yashinda tuzo mbili kwa kutoa huduma bora kwa watejaâ€
MKurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso akipokea tuzo ya ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao kutoka kwa waandaaji wa tuzo za Tanzania Leadership Award bwana Kishore Bollakpalli (kushoto). Airtel Tanzania imejishindia tuzo mbili za ubora katika kipengele cha kutoa huduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja.
Yajishindia tuzo kwa matumizi bora katika kutoa huuduma za kimtandao pamoja na huduma zinazokidhi mahitaji ya wateja
Dar es Salaam, Jumanne...
10 years ago
BBCSwahili12 Jul
Voliboli:Kenya yashinda dhahabu Grand Prix
11 years ago
GPL
MeTL YASHINDA TUZO 3 ZA RAIS ZA WATENGENEZAJI BIDHAA KWA MWAKA 2013
9 years ago
Michuzi06 Dec
Benki ya NMB yashinda nafasi ya kwanza Tuzo za NBAA kwa mabenki Tanzania

10 years ago
Dewji Blog01 May
Clouds FM yashinda tena tuzo ya ubora ya Superbrand kwa mara ya tatu Afrika Mashariki

Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce Mhaville, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Bwa.Ruge Mutahaba, Meneja Masoko Bwa. Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya Alliance Insurance.
