Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIA YA KIBO GOLD LAGER YA SERENGETI BREWERIES LTD YASHINDA TUZO YA MEDALI YA DHAHABU YA UBORA DUNIANI YA MONDE SELECTION.



BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa.  
‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji. Bidhaa hizo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Bia ya Kibo Gold Lager ya SBL yashinda tuzo ya medali ya dhahabu ya ubora duniani ya Monde Selection

l

Na Mwandishi wetu

BIA ya Kibo Gold Lager imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa wakati wa sherehe za 53 za kila mwaka zilizofanyika huko Bordeaux, Ufaransa. 

‘Monde Selection’ ni tuzo zinazotolewa kila mwaka tangu mwaka 1961, kwa ajili ya bidhaa za vinywaji na chakula. Huendeshwa na kampuni ya Biashara ijulikanayo kama ‘International Institute for Quality Selections’ ya Brussels, Ubelgiji....

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bia ya Kibo Gold yashinda tuzo

BIA ya Kibo Gold imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa katika sherehe za 53 za kila...

 

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER YASHINDA TUZO LA UBORA KIMATAIFA 2014

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akionyesha moja ya tuzo za dhahabu ilizowahi kupata wakati wa mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam.
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo...

 

11 years ago

Michuzi

NDOVU SPECIAL MALT YASHINDA TUZO YA MONDE SELECTION 2014

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fombo Butallah (kulia) akizongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akizingumzia ushindi wa tuzo ya Dhahabu (Monde Selectiaon) ulioipata Bia ya Ndovu Special Malt katika mashindano ya Bia kutoka makampuni mbali mbali Duniani,yaliyofanyika nchini Ufaransa hivi karibuni.Kulia ni Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli.  Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli akielezea namna mashindano hayo ya Bia...

 

11 years ago

Michuzi

Safari Lager na Ndovu Special Malt zapata tuzo za Monde Selection nchini Ufaransa

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(wa pili kulia) na mpishi wa bia wa Kampuni ya Bia nchini Tanzania(TBL) Cavin Nkya(wa pili kushoto) wakiwa wameshikilia tuzo zao za ubora wa kimataifa(International Quality Trophy) za Ndovu Special malt na Safari Lager walizoshinda hivi karibuni nchini Ufaransa kutoka kwenye Taasisi ya kimataifa ya Monde Selection. Meneja wab Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwa ameshikilia chupa ya bia yake iliyoshinda tuzo ya Ubora wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

SBL yazindua rasmi tuzo ya ubora wa thamani ya Monde Selection kwa wateja wake

2

Mkuu wa kitengo cha Kuhamasisha Masoko kwa wateja toka Kampuni ya bia ya Serengeti Bw. Alfa Mria akizungumza na wateja wa bia ya Serengeti Premium Lager wakati wa uzinduzi rasmi wa tuzo ya ubora wathamaniya Monde Selection ambapo bia ya Serengeti Premium ya SBL imetuzwa medali ya dhahabu mwaka huu wa 2015. Sherehe ya kuzindua ushindi huo kwa wateja ilifanyika katika baa ya Toroka Uje iliyopo Kimara jijini Dar es salaam.

7

8

Meneja Masoko wa Kampuni ya bia ya Serengeti Bi. Anitha Msangi...

 

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa. Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy)...

 

5 years ago

Michuzi

TBL YASHINDA TUZO YA KIZIBO CHA DHAHABU, KUKIONESHA KWA WATANZANIA

 Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imepata Tuzo ya Kizibo Cha Dhahabu inayomaanisha Ubora wa Kimataifa kutokana na uzalishaji wa bidhaa zake bora. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa Brand za TBL, Pamela Kikuli alisema kuwa, TBL imefurahi kupata tuzo hiyo ambayo alisema kuwa imeongeza heshima katika jina la kampuni na bidhaa zake na kwamba wataendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora ili kukidhi mahitaji ya wateja wake nchini kote. 
“Kwakweli tumefurahi sana kupata tuzo hii ambayo ni ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Clouds FM yashinda tena tuzo ya ubora ya Superbrand kwa mara ya tatu Afrika Mashariki

Picha ya pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce Mhaville, Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Bwa.Ruge Mutahaba, Meneja Masoko Bwa. Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya Alliance Insurance.

Mkuu wa Kitengo cha Idara ya Uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Bwana Jawad Jaffer akiwa na baadhi ya viongozi wa juu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani