NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU
![](http://api.ning.com:80/files/vcB-R4TFh6rauvUctfaDPtJXsEIz-JKfTJGUF78SXtzMyvxb4odfm1-1q4R3K2Ba4l8rQM1fNsB2D3mU4nFNR2Knyb7sNIQd/article01F1005A400000578701_634x495.jpg?width=650)
Staa wa Brazil, Neymar. Makala RIO DE JANEIRO, Brazil KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo. Kasi yake inamaanisha kuwa anaweza kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo na kubeba kiatu cha dhahabu ambacho kinawaniwa na mastraika wengine...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Ronaldo atwaa kiatu cha dhahabu
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Kiatu cha dhahabu chanukia kwa Samatta
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Jaja aota kutwaa kiatu cha dhahabu Ligi Kuu
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Oya jombaa… usifosi kiatu cha kushoto mguu wa kulia!
Inakuwaje wakali wangu wa nguvu? Oya masela barida? Basi kipande hii haina kwikwi chaliiangu. Ni mpango mzima makachaa wangu.
Ebana maandalizi ya kitu cha mnuso wa Eksimasi kwani vepee? Maana kama sielewielewi f’lani hivi. Naona pipo wapo bize kinoma hata hatupeani michongo kama ishu inakuwaje wazazi? Bati freshi hata kama chama langu hana kitu masti kitu cha holidei kihapeni.
Tangu tulipomingo lasti wiki kumekrosi mambo kibwena hadi tudei tunamiti hapa kwa fasi ya jamvini. Wanangu Saa Godi...
10 years ago
Dewji Blog02 Sep
Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru
Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.
Na Hillary Shoo, IKUNGI
KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .
Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...
11 years ago
Dewji Blog17 May
Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.
Na Hillary Shoo,
KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi Wilayani Ikungi Mkoani Singida.
Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...
11 years ago
Mwananchi21 Jun
Casillas: Kizazi cha dhahabu kwisha