Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Casillas: Kizazi cha dhahabu kwisha

Iker Casillas amekiri kwamba kizazi cha dhahabu cha Hispania kimekwisha baada ya kuwa timu ya kwanza ya mabingwa watetezi kuondolewa kutokana na michezo miwili  pekee ya hatua ya makundi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Barabara ya Ndundu-Somanga yakamilika kwa kiwango cha Lami kilio cha watu wa mikoa ya kusini kwisha

Sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.Wanahabari wakimhoji Dereva wa basi la abiria kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam kuhusiana na kukamilika kwa sehemu ya barabara hiyo.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akikagua sehemu ya barabara ya Ndundu –Somanga(KM 60) iliyokamilika kwa kiwango cha lami.
Ukaguzi wa barabara hiyo ukiendelea kama inavyoonekana.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Musa Iyombe akiteremka kukagua tuta la barabara ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Kibarua cha Makata, Kagera kwisha kazi

Vuguvugu la kutimua makocha limeendelea katika Ligi Kuu  Bara baada ya Kagera Sugar kumtimua kocha wake Mbwana Makata kutokana na timu hiyo kuendelea kufanya vibaya.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Shanta ya uchimbaji wa dhahabu yakabidhi hundi ya milioni 41.5 kwa kikundi cha Aminika Gold Mine cha Sambaru

gm

Meneja mkuu wa shanta akizungumza kwenye mkutano wa makabidhiano ya hundi hiyo jana.

Na Hillary Shoo, IKUNGI

KAMPUNI ya uchimbaji wa Madini ya dhahabu ya Shanta mining Limited iliyopo katika kijiji cha Sambaru Kata ya Mang’onyi  Wilayani Ikungi, imekabidhi hundi yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 4.23 kwa kikundi cha Aminika .

Msaada huo umekabidhiwa kwa bodi ya Wakurugenzi wa kikundi hicho cha Aminika jana na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Shanta, Zone Swanepoel katika kijiji cha...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shanta yatoa leseni, Mtaji, huku Tan Discovery yakabidhi vifaa kwa kikundi cha uchimbaji wa Dhahabu cha Aminika Singida

DC

Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Manju Msambya akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sambaru kwenye hafla hiyo ya makabidhiano ya leseni tatu.

Na Hillary Shoo,

KAMPUNI ya uchimbaji wa madini ya dhahabu ya Shanta Mining Ltd, imetoa leseni tatu na mtaji wa shilingi milioni 40 kwa kikundi cha wachimbaji wadogo cha Aminika cha kijiji cha Mang’onyi  Wilayani Ikungi Mkoani Singida.

Kikundi hicho Aminika Gold Mine Co- Operative Society Ltd Mang’onyi kimekabidhiwa leseni hizo jana na Naibu...

 

10 years ago

Vijimambo

Kizazi cha mtandao

Kuongea tena hakuna hata wakati tunapokutana!

 

9 years ago

BBCSwahili

Ronaldo atwaa kiatu cha dhahabu

Cristiano Ronaldo ametunukiwa kiatu cha Dhahabu ya kwa Ufungaji Bora huko Ulaya

 

11 years ago

GPL

NEYMAR ATAKAVYOBEBA KIATU CHA DHAHABU

Staa wa Brazil, Neymar. Makala
RIO DE JANEIRO, Brazil
KIULIZA washambuliaji ambao wapo ‘on fire’ kwenye michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil, haraka jina la Neymar litatajwa na wengi, staa huyo wa Brazil ameshafunga mabao manne mpaka sasa katika michuano hiyo. Kasi yake inamaanisha kuwa anaweza kuwa mfungaji bora wa michuano hiyo na kubeba kiatu cha dhahabu ambacho kinawaniwa na mastraika wengine...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa kizazi cha 'msaada' azaliwa

Mwanamke mmoja nchini Sweden amejifungua mtoto kutokana na kizazi alichowekewa kupitia upasuaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yahatarisha kizazi cha vijana

Rais Sirleaf wa LIberia asema kizazi cha vijana Afrika kiko hatarini kwa sababu ya Ebola, iwapo dunia haikufanya jitihada kubwa

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani