GAPCO KUDHAMINI KILIMANJARO MARATHON KILOMITA 10 KWA WALEMAVU 2016
![](http://3.bp.blogspot.com/-kslRG8v2fVY/VkzgGtF3XnI/AAAAAAABpQA/I7vcMYVaC0g/s72-c/IMG_2071.jpg)
GAPCO, kampuni ya mafuta inayoongoza Tanzania, imetangaza udhamini wake wa mbio za Kilimanjaro Marathon 2016 za kilomita 10 kwa walemavu. Akitangaza udhamini huo jana wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo ya Kilimanjaro Marathon, Meneja Masoko wa GAPCO Tanzania, Caroline Kakwezi alisema GAPCO inaona fahari kudhamini mbio hizo za kilomita 10 kwa walemavu. “Tumeshuhudia mbio hizi za Kilimanjaro Marathon zikikua tangu tuanze kudhamini mwaka 2011 na pia kufurahia faida wanayopata washiriki na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog19 Nov
Kampuni ya simu ya Tigo Tanzania yatoa TSH. Milioni 200 kudhamini Kilimanjaro Marathon 2016!
9 years ago
TheCitizen14 Dec
Gapco ventures again in Kilimanjaro Marathon
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-TwbZmfgbc80/XlvVL7av7FI/AAAAAAALgO4/jZdygkfFXmg2lxd3vQc_qJs80dAH1H4SACLcBGAsYHQ/s72-c/2dab86c8-950b-469d-88c7-d24ad93533b8.jpg)
MD wa SBL ashiriki mbio za Kilomita 21 Kili Half Marathon 2020 mjini Moshi
![](https://1.bp.blogspot.com/-TwbZmfgbc80/XlvVL7av7FI/AAAAAAALgO4/jZdygkfFXmg2lxd3vQc_qJs80dAH1H4SACLcBGAsYHQ/s640/2dab86c8-950b-469d-88c7-d24ad93533b8.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/781e28e9-dfd5-4861-9b40-14bb611c02f6.jpg)
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya bia ya Serengeti SBL, Mark Ocitti akikimbia na kufanikiwa kumaliza mbio za kilomita 21 za Kilimanjaro Marathon 2020 mjini Moshi leo. Tukutane Chui finishing line.
10 years ago
Dewji Blog06 Mar
Askari Fabiola apongezwa kwa kutwaa medali Kilimanjaro Marathon 2015
Mshindi wa Kilimanjaro marathon 2015 WP 4615 CPL Fabiola William wa jeshi la polisi mkoa wa Singida (katikati) akipunga mkono akiwa kwenye msafara uliompokea ukielekea ofisini kwa kamanda wa polisi mkoa wa Singida. WP Fabiola amezaliwa kata ya Ilongero jimbo la Singida kaskazini kata ambayo pia Inspekta Jenerali wa Jeshi la polisi nchini, Ernest Mangu ndiko alikozaliwa.
Na Nathaniel Limu, Singida
JESHI la polisi mkoa wa Singida,limeahidi kuendelea kuwahimiza na kuwahamasisha askari wake...
9 years ago
TheCitizen19 Nov
Kili Marathon 2016 launched
10 years ago
VijimamboPBZ KUDHAMINI MECHI YA MUUNGANO KATI YA KILIMANJARO NA ZANZIBAR HEROES UGHAIBUNI MTANANGE KUPIGWA APRIL 26, 2015
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/04/Untitled58.jpg)
10 years ago
BBCSwahili24 Feb
Kilimanjaro Marathon yanukia
10 years ago
BBCSwahili26 Feb
Kilimanjaro Marathon Tanzania kumekucha
5 years ago
CCM BlogKILIMANJARO MARATHON YAWAONYA WADANGANYIFU
Waandaaji wa mbio za Kilimanjaro Premium Lager Marathon 2020 wametoa onyo kalikwa washiriki wanaopanga kutumia njia za udanganyifu kushiriki mbio hizo kwa lengo la kujipatia medali na zawadi nyingine.
Taarifa...