Madudu vitabu vilivyonunuliwa kwa chenji ya rada
Pamoja na kelele nyingi za wabunge wakiongozwa na James Mbatia kuhusu udhibiti wa vitabu vinavyotumika shuleni, kuna kila dalili kuwa watendaji wa vyombo husika wameweka nta masikioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Mar
Mushkeli vitabu vya chenji ya rada
SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.
11 years ago
Dewji Blog10 May
Chenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora
Na Mwandishi maalumu – HakiElimu
Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi...
11 years ago
Habarileo07 May
Serikali yatoa kauli chenji ya rada
SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masasi wapokea madawati 600 ya chenji ya rada
HALMASHAURI ya mji wa Masasi mkoani Mtwara imepokea madawati ya kisasa ya plastiki ngumu 617 kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
11 years ago
Habarileo30 Mar
CAG apongezwa kwa kuondoa ‘madudu’
OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, imepongezwa kwa kufanya mabadiliko makubwa katika ukaguzi wa hesabu hizo, ukilinganisha na miaka ya nyuma. Imeelezwa kuwa huko nyuma, kulikuwa na matatizo makubwa katika hesabu za fedha za serikali. Kutokana na hali hiyo, CAG ametakiwa aendelee kutimiza majukumu yake kikamilifu.
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
10 years ago
Vijimambo04 Mar
TANESCO YAKUBALI KUWEPO MADUDU KWENYE LUKU NI BAADA YA WATEJA KUWA KIZANI KWA SIKU 3
“Ni kweli tunaomba radhi wateja wetu kwamba kuanzia...