Mushkeli vitabu vya chenji ya rada
SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Madudu vitabu vilivyonunuliwa kwa chenji ya rada
11 years ago
Dewji Blog10 May
Chenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora
Na Mwandishi maalumu – HakiElimu
Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.
Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi...
11 years ago
Habarileo07 May
Serikali yatoa kauli chenji ya rada
SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada
10 years ago
Habarileo25 Feb
Masasi wapokea madawati 600 ya chenji ya rada
HALMASHAURI ya mji wa Masasi mkoani Mtwara imepokea madawati ya kisasa ya plastiki ngumu 617 kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
10 years ago
MichuziMTUNZI MKONGWE WA VITABU ZANZIBAR AZINDUA VITABU VITATU VYA HADITHI ZA KALE
10 years ago
MichuziVitabu vya Shaaban Robert
![](http://2.bp.blogspot.com/-S7UOasxh6Aw/VVKJS8kZ3jI/AAAAAAAAKec/bP3BzCARC6s/s200/Shaaban-Robert1.jpg)
Na Profesa Mbele
Jina la Shaaban Robert ni maarufu miongoni mwa wa-Tanzania na wengine wa nchi zingine wanaokijua ki-Swahili. Lakini, tujiulize ni wa-Tanzania wepi ambao wamesoma angalau vitabu vichache vya Shaaban Robert.
Ni wangapi wamesoma au wanasoma mashairi yake, tenzi zake, insha zake, barua zake, na riwaya zake?
Ni wangapi wamesoma vitabu vyake vingine, kama vile Wasifu wa Siti Binti Saad, Maisha Yangu na Baada ya Miaka Hamsini, na tafsiri yake ya mashairi ya Omar Khayyam? Kama hatuna...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Necta yaanzisha vitabu vya uchambuzi
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limeanzisha vitabu vya uchambuzi vinavyoonyesha tathmini ya ufaulu kwa kila swali katika kila somo kwa shule za msingi. Vitabu hivyo vitasaidia kuongeza kiwango cha ufaulu...