Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yatoa kauli chenji ya rada

SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mushkeli vitabu vya chenji ya rada

SHIRIKA la Kijamii lisilokuwa la kiserikali, Daraja, limeiomba serikali kusitisha kusambaza mashuleni vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada. Hayo yalisemwa jana na ofisa mwandamizi wa shirika hilo, Lawrance Sigalla katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

10 years ago

Mwananchi

Madawati ya ‘Chenji ya Rada’ yameota mbawa?

Ni fedheha kubwa kwa Serikali kuwa na kigugumizi kila inapotakiwa kutoa maelezo au ufafanuzi kuhusu matumizi ya Sh73.6 bilioni zilizotengwa kununua vitabu na madawati kwa shule za msingi nchini. Suala hilo limekuwa kitendawili kutokana na ukweli kuwa, zaidi ya asilimia 60 ya madawati yaliyopangwa kununuliwa kwa ‘Chenji ya Rada’ hayakununuliwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge ‘wang’ang’ania’ chenji ya rada

Wabunge wengi wamedaiwa kutamani kunufaisha majimbo yao fedha zilizotokana na chenji ya rada, hivyo ni changamoto kwa wizara zilizokabidhiwa kusimamia matumizi yake.

 

10 years ago

Habarileo

Masasi wapokea madawati 600 ya chenji ya rada

HALMASHAURI ya mji wa Masasi mkoani Mtwara imepokea madawati ya kisasa ya plastiki ngumu 617 kutoka ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

 

11 years ago

Mwananchi

Madudu vitabu vilivyonunuliwa kwa chenji ya rada

Pamoja na kelele nyingi za wabunge wakiongozwa na James Mbatia kuhusu udhibiti wa vitabu vinavyotumika shuleni, kuna kila dalili kuwa watendaji wa vyombo husika wameweka nta masikioni.

 

11 years ago

Dewji Blog

Chenji ya Rada yatumika kununua Vitabu visivyo na ubora

Na Mwandishi maalumu – HakiElimu 

Uchunguzi kuhusiana na vitabu vilivyonunuliwa kutokana na chenji ya rada na kusambazwa mashuleni nchini Tanzania umebaini kuwa vitabu hivyo vina  kasoro za ubora licha ya kupata Hati ya Ithibati (Certificate of Approval) kutoka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi.

Uchunguzi huo uliofanyika katika shule za msingi katika Wilaya ya Kilwa Masoko iliyoko mkoani Lindi umebaini pamoja na kasoro za ubora pia mgawanyo wa vitabu hivyo haukuzingatia mahitaji halisi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali: Tusikubali ya Rada, hatua zichukuliwe

Simon Bowers Tweets

Taasisi ya Serious Fraud Office ya Uingereza ( SFO ) inafanya mazungumzo na Benki ya Standard Group ya Afrika ya Kusini Lakini iliyoorodheshwa katika soko la hisa ya Uingereza ( London Stock Exchange ) ili kumalizana kuhusu tuhuma za rushwa katika ununuzi wa hati fungani za Serikali ya Tanzania yenye thamani ya dola za kimarekani milioni Mia Sita ( $ 600m ). Mazungumzo hayo yanafanywa mbele ya Jaji katika mji wa London.

Ndugu wanahabari, ni jambo la kawaida kwa serikali yoyote duniani kuuza...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kata ya Majengo yatoa kauli kali

SAM_0033

Mwenyekiti wa CCM kata ya Itigi Majengo,wilaya ya Manyoni, Mkoani Singida, Bwana Haroub Suleim akiwahutubia wananchi wa mji mdogowa Itigi na vitongoji vyake wakati wa kuwanadi wagombea wa ubunge na udiwani wa jimbo la Manyoni magharibi uliofanyika Itigi mjini.

SAM_0055

Mgombea wa ubunge mteule wa jimbo la Manyoni magharibi (CCM), Bwana Yahaya Masare akiomba kura kwa wanachma pamoja na wananchi kwa ujumla wa jimbo la Manyoni magharibi kwenye mkutano uliofanyika mji mdogo wa Itigi, wilayani...

 

10 years ago

Mwananchi

Watendaji wa Serikali Mwanza mmeisikia kauli ya Rais?

Oktoba 10 mwaka huu Rais Jakaya Kikwete alifanya ziara ya siku tatu Mkoa wa Mwanza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani