Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watendaji wa Serikali Mwanza mmeisikia kauli ya Rais?

Oktoba 10 mwaka huu Rais Jakaya Kikwete alifanya ziara ya siku tatu Mkoa wa Mwanza.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA SERIKALI WILAYANI KARATU WAMETAKIWA KUTEKELEZA AMRI YA RAIS

Watendaji wa Serikali wilayani Karatu wametakiwa kutekeleza amri ya Rais kwa kusimamia masuala ya usafi katika maeneo yao.

 

9 years ago

Michuzi

Maagizo ya Rais Magufuli kuhusu safari za nje za watendaji wa Serikali yaanza kutekelezwa

Kufuatia maagizo ya Mhe. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoyatoa hivi karibuni ya kusitisha safari za nje kwa Wizara, Idara na Taasisi za Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imeanza kutekeleza maagizo hayo kwa kutoa maelekezo mahsusi kwa Balozi zake nje.
Wizara imezielekeza Balozi zote zilizopo maeneo mbalimbali duniani kujipanga ili kushiriki kikamilifu katika kuiwakilisha Serikali kwenye mikutano yote ya kimataifa na kikanda...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR YAWAONYA WATENDAJI WA SERIKALI NA TAASISI ZAKE

Na Mwandishi wetu.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeonya kwamba haitamvumilia mtendaji ye yote wa Serikali  au Taasisi zake za Umma atakayebainika anazorotesha ufanisi wa kazi pamoja na kuendeleza makundi katika sehemu za kazi.
Onyo hilo limetolewa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali wakati akizungumza na Wafanyakazi wa Idara ya upigaji chapa na Mpiga chapa Mkuu wa Serikali baada ya kuangalia utendaji kazi wa fanyakazi hao katika sehemu mbali mbali za Kiwandi hicho hapo...

 

11 years ago

Habarileo

Ndugai awachachamalia watendaji wa Serikali

NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewashutumu baadhi ya viongozi na watendaji wa Serikali kuwa ndio wanaochochea migogoro baina ya wakulima na wafugaji nchini. Kutokana na shutuma hizo ambazo alidai pia zina baraka za wabunge wengine wa Mkoa wa Dodoma wakiwemo Mbunge wa Gairo na Ahmed Shabiby, Mbunge wa Kondoa Kaskazini Zabein Mhita, Ndugai aliwaahidi wakulima wa Kongwa na Kiteto kuwa kilio chao atakifikisha mbele ya Rais Jakaya Kikwete.

 

10 years ago

StarTV

Watendaji wa Serikali Ulanga waingia lawamani.

Na Kasilda Mgeni Mulimila,

Ulanga-Morogoro.

Kanisa katoliki jimbo la Ulanga mkoani Morogogo limeeleza kusikitishwa na hatua ya watendaji wa Serikali wilayani humo kuingilia maeneo yanayomilikiwa kisheria na kanisa hilo na kuamua kujenga makazi ya kudumu.

 

Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Ulanga Mhashamu Josephat Ndirobo alitoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe kwenye mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na wa kisiasa.

 

Mkuu...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatoa kauli chenji ya rada

SERIKALI imesema chenji ya rada itahusika na ununuzi wa madawati na vitabu katika shule za Tanzania Bara pekee.

 

10 years ago

Habarileo

CCM kutovumilia watendaji mizigo serikali za mitaa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mara, Christopher Sanya amesema kuwa chama hicho hakitavumilia viongozi wake wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana ambao hawatawajibika ipasavyo kwa wananchi waliowachagua.

 

10 years ago

Vijimambo

TGNP Mtandao Yawanoa Watendaji wa Serikali Juu ya Ukatili

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi akiwasilisha mada katika semina kwa watendaji wa Serikali kuhusiana na changamoto za kesi za ukatili wa kijinsia. Baadhi ya watendaji wa Serikali kutoka idara za mahakama, maofisa wa Dawati la Jinsia na Watoto la Jeshi la Polisi pamoja na wanasheria walioshiriki katika semina hiyo iliyofanyika Double View Hoteli jijini Dar es Salaam. Baadhi ya watendaji wa Serikali kutoka idara za mahakama, maofisa wa Dawati la Jinsia na Watoto la Jeshi la...

 

11 years ago

Mwananchi

CUF yaonya kauli za kuvunja Serikali ya Umoja Zanzibar

Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limelaani kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyoitoa katika mikutano yake Zanzibar na kusema kuwa ina lengo la kuvunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani