Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM kutovumilia watendaji mizigo serikali za mitaa

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Mara, Christopher Sanya amesema kuwa chama hicho hakitavumilia viongozi wake wa Serikali za Mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika jana ambao hawatawajibika ipasavyo kwa wananchi waliowachagua.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TALGWU yawataka watendaji Serikali za Mitaa Singida kuisoma Katiba pendekezwa

DSC04540

Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) nchini,  Seleman Kikango, akifungua kikao cha uchaguzi kilichofanyika mjini hapa.Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa tawi la TALGWU makao makuu, Julius Manning na kushoto ni Mweka hazina wa TALGWU Taifa, Siston Mizengo.

DSC04532

Mwenyekiti wa chama cha wafanyakazi wa serikali za mitaa (TALGWU) (wa kwanza kushoto), Seleman Kikango, akishiriki kuimba wimbo wa mshikamano kwenye mkutano wa uchaguzi wa chama hicho uliofanyika mjini hapa. Wa...

 

5 years ago

CCM Blog

VIONGOZI, WATENDAJI WILAYANI UBUNGO WANOLEWA KUWAONGEZEA UWEZO KATIKA USIMAMIZI NA UENEDESHAJI SERIKALI ZA MITAA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Dar es Salaam, Kisare Makori akifungua mafunzo elekezi kwa Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata na Wakuu wa Idara katika Wilaya hiyo, leo katika Ukumbi wa Little Flower, Mbezi. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ubungo Lucas Mgonja na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic. KWA PICHA ZAIDI ZA MAFUNZO HAYO, TAFADHALI>> BOFYA HAPA


Na Bashir Nkoromo, Ubungo
Wenyeviti na Watendaji wa Serikali za Mitaa, Watendaji wa Kata...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM wakuna vichwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) kilichoanza jana mjini hapa, pamoja na mambo mengine, kimelenga kuweka mkakati wa ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwezi ujao.

 

10 years ago

Habarileo

CCM itashinda uchaguzi serikali za mitaa - Wassira

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira amezungumzia mbio za urais ndani ya CCM na kusema kishindo cha vikumbo vya wagombea ni ishara tosha kwamba kinakubalika.

 

10 years ago

Habarileo

CCM yaweka mikakati ya Uchaguzi Serikali Mitaa

KATIKA kuhakikisha kinafanya vyema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwishoni mwa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu wa mwaka kesho, Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kimepanga kuzitumia siku za Jumamosi kwa mikutano ya kisiasa katika kata zote za manispaa hiyo.

 

10 years ago

StarTV

Serikali za Mitaa, CCM yajivunia ushindi wa asilimia 84

Na Lilian Mtono,

Dar es Salaam.

 

Chama cha Mapinduzi CCM kimesema matokeo ya uchaguzi wa Serikali za mitaa yaliyopatikana kwenye maeneo yaliyofanikiwa kufanya uchaguzi huo yanaonyesha chama hicho kushinda kwa asilimia 84.

Matokeo hayo, hayaunganishwi na yale yaliyofutiwa uchaguzi huo.

Wakati chama hicho kikieleza kuridhishwa na matokeo hayo ya ushindi, kwa upande mwingine kinasema kimesikitishwa na mapungufu yaliyojitokeza na kutaka hatua za haraka kuchukuliwa.

Hata hivyo Katibu wa...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM ‘yapoteza’ viti 2,600 Serikali za Mitaa

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imetangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa Serikali za mitaa nchi nzima yanayoonyesha kuimarika kwa upinzani.

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Mwananchi

CCM itatua mzigo wa makosa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

Machi mwaka huu Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuanza rasmi mchakato wake wa kura ya maoni ya kuwapata wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani watakaopeperusha bendera ya chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani