CUF yaonya kauli za kuvunja Serikali ya Umoja Zanzibar
Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limelaani kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyoitoa katika mikutano yake Zanzibar na kusema kuwa ina lengo la kuvunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 May
CUF: Wasiotaka Serikali ya Umoja wafukuzwe
Chama cha Wananchi (CUF) kimesema wanasiasa wanaojadili suala la kuendelea au kutokuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), wanastahili kujiuzulu au kufukuzwa ndani ya vyama vyao.
10 years ago
Habarileo26 Feb
CUF yasisitiza Serikali ya Umoja wa Kitaifa Z’bar
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimesema msimamo wake ni kuendelea kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, kiwe kimeingia madarakani au la.
11 years ago
Mwananchi05 May
CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar
Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Salmin Awadh Salmin amesema wawakilishi wa CCM wanajiandaa kuwasilisha hoja binafsi kwenye Baraza hilo ili kuwapa nafasi wananchi waulizwe iwapo wanataka kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), au la.
9 years ago
Mwananchi18 Dec
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar yaparaganyika
Wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro wa kisiasa Zanzibar yakiendelea, utendaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), unaonekana kuparaganyika baada ya mawaziri wa CUF kususia kazi, wakidai Serikali hiyo imeshamaliza muda wake.
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Bavicha wapinga kauli za kuvunja Bunge
Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Mkoa wa Mbeya limepinga kauli za baadhi ya viongozi na wananchi wanaotaka Bunge la Katiba livunjwe kwa kushindwa kutimiza wajibu wake.
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DWK8oofUH4U/VnkvSYwpxeI/AAAAAAAIN1Q/k1Kcv-Rsd08/s72-c/IMG_8985.jpg)
URUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.
![](http://1.bp.blogspot.com/-DWK8oofUH4U/VnkvSYwpxeI/AAAAAAAIN1Q/k1Kcv-Rsd08/s640/IMG_8985.jpg)
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
![](http://2.bp.blogspot.com/-nHNqjMbdGUw/VnkvR5LpSpI/AAAAAAAIN1M/Vf2q1ae2-I0/s640/IMG_8949.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Sep
Dk Shein ahofia kauli za CUF
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa CUF zina dalili ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25.
10 years ago
GPLUMOJA WA VIJANA WA VYUO WATOA TAMKO LA KULAANI KAULI ZA MWENYEKITI WA CHADEMA TAIFA
 Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wazalendo wa Vyuo vya Elimu ya Juu Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Omary, akisoma tamko hilo, Dar es Salaam siku ya jana.   Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Wazalendo wa Vyuo vya Elimu ya Juu Mkoa wa Dar es Salaam, Mussa Omary (katikati), akizungumza na waandishi wa habari wakati akisoma tamko hilo. Kulia ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Theodora Malata na Mwanachuo...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-lrhoagJJjlE/VbsHYPK9BvI/AAAAAAAHs3c/twJiQst18Rc/s72-c/UntitledN1.png)
UMOJA WA MATAIFA WAPITISHA KWA KAULI MOJA AZIMIO DHIDI YA UJANGILI WA WANYAMAPOLI
![](http://4.bp.blogspot.com/-lrhoagJJjlE/VbsHYPK9BvI/AAAAAAAHs3c/twJiQst18Rc/s640/UntitledN1.png)
Na Mwandishi Maalum, New York
Kwa mara ya kwanza jana alhamisi Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, limepitisha kwa kauli moja, azimio la kihistoria linalolenga...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania