Dk Shein ahofia kauli za CUF
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk Ali Mohamed Shein amesema kauli zinazotolewa na viongozi wa CUF zina dalili ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 May
CUF yaonya kauli za kuvunja Serikali ya Umoja Zanzibar
10 years ago
Habarileo30 Nov
Shein akumbusha viongozi kuchunga kauli zao
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Dk Ali Mohamed Shein amesema Serikali ya Umoja wa Kitaifa inaongozwa kwa mujibu wa Katiba na Sheria na si kwa matakwa binafsi ya baadhi ya wanasiasa.
10 years ago
Mwananchi27 Jun
Dk Shein, Maalim Seif wapishana kauli waliosusia Baraza la Wawakilishi
10 years ago
Habarileo12 Jan
Shein awatolea uvivu CUF
RAIS wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema hakuna kundi au mtu mwenye uwezo wa kuipindua Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) au ile Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) na atakayethubutu kuwaza au kupanga jambo hilo atakiona cha moto.
9 years ago
StarTV23 Nov
Kelele Za Kumpinga Rais Shein Wabunge CUF wasema siyo utovu wa nidhamu
Wabunge wa Chama cha Wananchi CUF wamesema kitendo cha kupiga kelele na kutolewa nje ya Bunge na Spika Job Ndugai wakati wa kumkaribisha Rais wa Zanzibar Dokta Ally Mohamed Shein ni cha kikatiba na siyo cha utovu wa nidhamu kama kinavyotafsiriwa.
Wabunge hao wamemwomba Spika kuitisha bunge la dharula ili wapate nafasi ya kujadili mustakabari mzima wa kisiasa visiwani Zanzibar.
Wabunge hao wamesema walifikia hatua hiyo, baada ya kumwandikia barua Spika wa Bunge Job Ndugai ya kumuomba...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BvvAZRNFqnT3kzW1p4vKjtzHWuwMDet0DD99Fmo6gwWL8KVbUGdoA5SAqXg74IG*IqP2ZCUh-fz0NDuZ1TM6zhjYX2gTKwNI/ODAMA.jpg)
ODAMA AHOFIA KIFO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jIM5ZSWhuBY*kL9Yow9JvZkRB*0iFth18jhk8M4nLFFAiu1YTP1R*yoIhGNejnDRVtsuWblHzGRQk*EiMU*ZzPVPTblO2DRT/Nisha.jpg)
NISHA AHOFIA UZEE
10 years ago
VijimamboLIPUMBA NDIE MGOMBEA PEKEE CUF ATAKAE WAKILISHA CUF KUGOMBEA URAIS UKAWA
![](http://www.habari247.co.tz/site/wp-content/uploads/2014/12/lipumba.jpg)
11 years ago
GPL02 Apr
BATULI AHOFIA KUPORWA BWANA