Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein, Maalim Seif wapishana kauli waliosusia Baraza la Wawakilishi

Zanzibar/Dar. Wakati Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ameunga mkono kitendo cha mawaziri na wajumbe wa CUF kususia baraza, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amekipinga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif azuiwa kuhudhuria Shein akivunja Baraza la Wawakilishi leo

Zanzibar. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamemzuia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhudhuria shughuli ya kuvunja Baraza hilo itakayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein leo.

 

9 years ago

Vijimambo

DKT. SHEIN, MAALIM SEIF WASHIRIKI BARAZA LA EID EL-HAJJ MJINI ZANZIBAR LEO

Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, Kadhi Mkuu wa Zanzibar Shekh. Khamis Haji Khamis, Rais wa Zanzibar, Dkt. Alhaj Ali Mohammed Shein, Waziri wa Sheria na Katiba wa Zanzibar,Abubar Khamis Bakary Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, na Rais mstaaffu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, wakiwa kwenye baraza la Eid El Hajj, mjini Zanzibar leo Septemba 24, 2015. Waislamu kote Duniani wanasherehekea sikukuu ya Eid El HajjRais...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Shein kuvunja Baraza la Wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein leo anahutubia Baraza la Wawakilishi, akitarajiwa kutumia fursa hiyo kuaga na kusitisha uhai wa Baraza hilo uliodumu kwa miaka mitano na hivyo kumaliza kazi yake kwa mujibu wa Katiba.

 

10 years ago

Vijimambo

DK SHEIN ALIPOHUDHURIA UFUNGAJI WA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi akiongozwa na SP Ali Abdalla Kitole wakati wa Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi la nane huko Chukwani jana Nje ya Mji wa Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi jana alipohudhuria kulifunga Baraza la nane la Wawakilishi la...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tekelezeni mawazo na maagizo ya baraza la wawakilishi kikamilifu- Balozi seif

028

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi wa mwanzo kulia Mh. Saleh Nassor Juma akiwa pamoja na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Mohamed Aboud Mohamed wakijipatia mlo kwenye dhifa maalum iliyoandaliwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Nyumbani kwake Mazizini.

Na Othman Khami Ame, Visiwani

WATENDAJI wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar wana...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya Ufungaji wa Baraza baada ya kumaliza muda wake.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, alipowasili katika viwanja vtya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na...

 

9 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF ARUDISHA FOMU YA KUWANIA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI JIMBO LA MAHONDA

Vijana wa Umoja wa Mapiki piki Wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B” wakimsindikiza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakati akirehesha fomu za kuwania kugombea uwakilishi Jimbo la Mahonda.Balozi Seif Ali Iddi akikabidhi Fomu za kuwania kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilushi Jimbo la Mahonda kwa Afisa wa Uchaguzi Wilaya ya Kaskazini “B” Nd. Makame Pandu Khamis ofisi ya Tume hiyo iliyopo Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wa Jimbo la...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni Shein na Maalim Seif

Halmashauri Kuu ya CCM imempitisha Dk Ali Mohamed Shein kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha urais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa awamu ya pili.

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Iddi afungua Semina ya usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, Zanzibar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiifungua Semina ya siku moja ya Usafiri Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi iliyofanyika kwenye ukumbi wa juu wa Baraza la Wawakilishi Mbweni.Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Zanzibar Mh. Juma Duni Haji akitoa maelezo kwenye Semina ya Usafiri wa Barabarani kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kabla ya ufunguzi wa Senmina hiyo.Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi pamoja na wadau wa usafiri walioshioriki semina ya usafiri wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani