Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Shein kuvunja Baraza la Wawakilishi

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein leo anahutubia Baraza la Wawakilishi, akitarajiwa kutumia fursa hiyo kuaga na kusitisha uhai wa Baraza hilo uliodumu kwa miaka mitano na hivyo kumaliza kazi yake kwa mujibu wa Katiba.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DK SHEIN ALIPOHUDHURIA UFUNGAJI WA BARAZA LA NANE LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride maalum la Kikosi cha Polisi akiongozwa na SP Ali Abdalla Kitole wakati wa Ufungaji wa Baraza la Wawakilishi la nane huko Chukwani jana Nje ya Mji wa Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitia saini kitabu cha wageni alipofika katika Ofisi za Baraza la Wawakilishi Chukwani Wilaya ya Magharibi jana alipohudhuria kulifunga Baraza la nane la Wawakilishi la...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein, Maalim Seif wapishana kauli waliosusia Baraza la Wawakilishi

Zanzibar/Dar. Wakati Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad, ameunga mkono kitendo cha mawaziri na wajumbe wa CUF kususia baraza, Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amekipinga.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK SHEIN AFUNGA KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya Ufungaji wa Baraza baada ya kumaliza muda wake.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdani Omar Makame, alipowasili katika viwanja vtya Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif azuiwa kuhudhuria Shein akivunja Baraza la Wawakilishi leo

Zanzibar. Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, wamemzuia Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhudhuria shughuli ya kuvunja Baraza hilo itakayoongozwa na Rais Dk Ali Mohamed Shein leo.

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mh. Muhamed Aboud (katikati),akizungumza na mwakilishi wa Wawi CUF,Saleh Nassor Juma kushoto huku Mwakilishi wa Kiembesamaki na Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akisikiliza mazungumzo hayo baada ya mapumziko ya kikao cha Baraza la Wawakilishi kinachoendelea hapa Zanzibar huko Chukwani.MJUMBE wa Baraza la Wawakilishi jimbo Magomeni (CCM) Salmin Awadh Salmin (kushoto),akizungumza na mjumbe wa baraza hilo Ali Mzee Ali...

 

11 years ago

GPL

BARAZA LA WAWAKILISHI, ZANZIBAR LEO

Wawakilishi wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi kabla ya kuingia ndani ya ukumbi kuanza kwa kikao cha Baraza hilo Mbweni nje ya mji wa Zanzibar.
Muwakilishi wa Jimbo la Nungwi Haji Mwadini Makame kushoto akibadishana mawazo na Muwakilishi waJimbo la Koani Mussa Ali Hassan nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.…
...

 

10 years ago

Habarileo

Baraza la Wawakilishi laanza kikao

BARAZA la Wawakilishi limeanza kikao chake jana ambako pamoja na mambo mengine litajadili miswada miwili ya sheria, huku Muswada wa Maadili ya Viongozi ukirudishwa tena kwa kamati kwa ajili ya majadiliano zaidi na kupokea maoni mbalimbali ya wadau kwa maboresho mapya.

 

10 years ago

Habarileo

Wajumbe Baraza la Wawakilishi washikana mashati

UKUMBI wa Baraza la Wawakilishi jana uligeuka uwanja wa ‘vita’ baada ua kuzuka vurugu na wajumbe kushikana mashati.

 

11 years ago

Habarileo

Wawakilishi Zanzibar wahoji Baraza lao

Katibu wa Kamati ya Wawakilishi wa CCM, Salmin Awadh SalminWAKATI Bunge Maalumu la Katiba, likitarajiwa kukutana leo kuamua kura gani itumike katika uamuzi wa mwisho wa kupitisha Katiba itakayopendekezwa kwa wananchi, wawakilishi wanachama wa CCM, wameibuka na kuhoji maoni ya Baraza la Wawakilishi kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani