Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar

Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Salmin Awadh Salmin amesema wawakilishi wa CCM wanajiandaa kuwasilisha hoja binafsi kwenye Baraza hilo ili kuwapa nafasi wananchi waulizwe iwapo wanataka kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), au la.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar yaparaganyika

Wakati mazungumzo ya kutatua mgogoro wa kisiasa Zanzibar yakiendelea, utendaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), unaonekana kuparaganyika baada ya mawaziri wa CUF kususia kazi, wakidai Serikali hiyo imeshamaliza muda wake.

 

11 years ago

Habarileo

CCM yahoji helikopta siku ya uchaguzi

Miraji MtaturoCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehoji matumizi ya helikopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Jumapili ijayo.

 

11 years ago

Mwananchi

CUF yaonya kauli za kuvunja Serikali ya Umoja Zanzibar

Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF), limelaani kauli ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana aliyoitoa katika mikutano yake Zanzibar na kusema kuwa ina lengo la kuvunja Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali ya Umoja Kitaifa yageuka shubiri kwa CCM

Wakati homa ya uchaguzi mkuu ikipamba moto, Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekerwa na viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kuvunja makubaliano kwa kutoa kauli zinazotofautiana na Serikali kwenye majukwaa.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wajipanga kukwamisha Serikali tatu

Wabunge na Wawakilishi wa CCM Zanzibar tayari wamekutana na kupanga mkakati wa pamoja kwa nia ya kupinga Mfumo wa Muungano wa Serikali tatu uliopendekezwa katika Rasimu ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imefahamika juzi visiwani Zanzibar.

 

9 years ago

Michuzi

URUWA WAOMBA KUKUTANA NA VIONGOZI WA ZAC, CUF,CCM NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.


Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na viongozi wa mashirkiano ya umoja wa vyama vya UDA, TADEA,UDP,UPDP,na SAU kwa kuwaomba viongozi wa ZEC,CUF,CCM na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ili waweze kukutana na kuzungumza pamoja kuhusiana na migoro wa kisiasa nchini humo, ameyasema leo jijini Dar es Salaam.
Katibu mkuu wa chama cha ADA-TADEA, John Shibuda katikati akizungumza na waandishi a habari jijini Dar es Salaam leo, kutoka kushoto...

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kenya yahoji Italia kuhusu Magut

Mkenya Eliud Magut alianguka mara 3 kwa uchovu katika mbizo za Marathon Italia maafisa wa mbio hizo wakichelewa kumsaidia

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR

VIONGOZI wa Madhehemu  (kushoto) Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Zanzibar. Hafidh Michael na Kiongozi wa Madhehebu ya Hindu Zanzibar. Pramuk  Yoges  wakielekea katika eneo la kaburi la Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, kwa ajili ya  kumuombea dua iliofanyika leo katika kaburi la marehemu viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihudhuria hafla ya dua ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Amani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani