CCM yahoji helikopta siku ya uchaguzi
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehoji matumizi ya helikopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Jumapili ijayo.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi05 May
CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar
9 years ago
Vijimambo30 Aug
Helikopta ya Nyarandu Anogesha Kampeni za Mgombea Mwenza CCM
9 years ago
Dewji Blog31 Aug
Helikopta ya Nyalandu yanogesha kampeni za Mgombea Mwenza CCM
Mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu akiwa jukwaani akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba.
Mjumbe wa Kamati ya Kampeni Taifa, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Iramba Magharibi akizungumza na wananchi kuinadi ilani ya CCM.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika Jimbo la Iramba Magharibi.
Mbunge Nkenge CCM aliyemaliza muda wake,...
9 years ago
Mwananchi16 Oct
Filikunjombe, rubani makada CCM wafa katika ajali ya helikopta
10 years ago
Bongo503 Oct
Msanii wa Kenya atumia tshs milioni 12 kukodi helikopta kuhudhuria hafla za mwanae na mdogo wake, Nairobi na Eldoret kwa siku 1
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.
9 years ago
Dewji Blog28 Oct
Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90
Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.
Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.
Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.