Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kenya yahoji Italia kuhusu Magut

Mkenya Eliud Magut alianguka mara 3 kwa uchovu katika mbizo za Marathon Italia maafisa wa mbio hizo wakichelewa kumsaidia

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Rais wa Kenya afuta safari ya Italia kutokana na hofu ya corona

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amefuta safari yake ya Italia kufuatia hofu ya ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona. Baada ya China, Italia sasa ndio nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa na kufariki kutokana na ugonjwa wa COVID-19.

Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, hadi kufikia Machi 14, watu 17,660 walikuwa wameambukizwa kirusi cha corona Italia huku wengine 1,268 wakiwa wamepoteza maisha.

Kwa mujibu wa ripoti katika gazeti la Daily Nation, Wizara ya Mambo ya Nje ya Kenya...

 

11 years ago

Mwananchi

CCM yahoji Serikali ya Umoja Zanzibar

Mnadhimu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Salmin Awadh Salmin amesema wawakilishi wa CCM wanajiandaa kuwasilisha hoja binafsi kwenye Baraza hilo ili kuwapa nafasi wananchi waulizwe iwapo wanataka kuendelea na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), au la.

 

11 years ago

Habarileo

CCM yahoji helikopta siku ya uchaguzi

Miraji MtaturoCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimehoji matumizi ya helikopta ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), siku ya kupiga kura katika uchaguzi mdogo wa Kalenga, Jumapili ijayo.

 

10 years ago

Mwananchi

PAC yahoji mkuu wa wilaya kuishi hotelini miezi miwili

Dar es Salaam. Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imebaini madudu katika taarifa za hesabu za mikoa ya Mara na Tanga kwa mwaka 2013/14, zilizowasilishwa kwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika jijini hapa.

 

5 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YAHOJI UPELELEZI WA KESI YA UHUJUMU UCHUMI INAYOMKABILI OFISA ELIMU KWA UMMA LHRC

Na Karama Kenyunko, Michuzi Globu ya jamii.
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka katika  kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Ofisa Elimu kwa Umma wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Tito Magoti (26) na mwenzake kueleza hali ya upelelezi umefikia wapi kama unakwenda mbele au la.
Tito anashtakiwa na mwenzake mbaye ni mtaalamu wa masuala ya Tehama Theodory Gyan (36) ambapo wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka ya utakatishaji fedha wa Sh.milioni 17,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu shahidi wa ICC Kenya

Afisaa mmoja wa polisi nchini Kenya amesema kwamba alama za vidole za mtu aliyeuawa na kutumbukizwa ndani ya mto hazionyeshi kuwa za shahidi wa ICC Meshack Yebei aliyepotea

 

10 years ago

BBCSwahili

Utalii:TZ yailaumu Kenya kuhusu marufuku

Serikali ya Tanzania inatarajiwa kuingilia kati kuhusiana na marafuku iliowekewa magari ya Utalii ya taifa hilo yanayoelekea Kenya

 

10 years ago

BBCSwahili

Hoja kuhusu Pepopunda Kenya yapuuzwa

Umoja wa Mataifa na Shirika la Afya duniani WHO zimepuzilia mbali hoja ya kanisa katoliki nchini Kenya ambalo lilipinga kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Pepo Punda nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano kuhusu Faru weupe Kenya

Mkutano wa kimataifa utakaojadili jinsi ya kukabiliana na biashara haramu ya pembe za wanyama wanaokabiliwa na tishio kubwa la kuangamia unatarajiwa kuanza hii leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani