Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata kuhusu shahidi wa ICC Kenya

Afisaa mmoja wa polisi nchini Kenya amesema kwamba alama za vidole za mtu aliyeuawa na kutumbukizwa ndani ya mto hazionyeshi kuwa za shahidi wa ICC Meshack Yebei aliyepotea

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa Ruto ICC auawa Kenya

Mwendesha Mkuu wa Mashtaka nchini Kenya ameamrisha kufanywan uchunguzi kufuatia mauaji ya shahidi mmoja kwenye kesi inayomkabili Naibu Rais William Ruto katika mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi mkuu kuhusu Rwanda atoweka Kenya

Shahidi mmoja muhimu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alitarajiwa kuhojiwa na majaji Ufaransa kuhusu kudunguliwa kwa ndege ya Juvenal Habyarimana ametoweka akiwa nchini Kenya

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu 'White Widow' Kenya

Uchunguzi umeazishwa Kenya kufuatia madai ya mtoro wa ugaidi Samantha Lewthwaite, maarufu kama 'White Widow' kukwepa polisi

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu Heroine iliyonaswa Kenya

Kenya imelalamika kuwa haikupewa taarifa zozote kuhusu dawa za kulevya zilizonaswa na wanajeshi wa Australia wanaoshika doria katika ufuo wa bahari Hindi,ufukweni mwa Kenya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je,shahidi wa ICC aliyeuawa ni nani?

Marehemu Yebei alitoweka tarehe 28 mwezi Disemba na mwili wake uliokuwa na majereha kupatikana ukiolea katika mto

 

10 years ago

StarTV

Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana

Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.

Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu kuuawa kiongozi wa IS

Dola ya Kiislam Islamic State imesambaza sauti iliyorekodiwa wanayodai ni ya Kiongozi wao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Utata wazidi kuhusu mawaziri Zanzibar

Utata umezingira hatima ya mawaziri katika serikali ya visiwani Zanzibar baada ya kuongezewa muda kwa rais wa visiwani kutokana na utata kuhusu matokeo ya uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani