Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya
Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo05 Jan
SHAHID WA ICC APATIKANA AMEUAWA KENYA
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/01/03/150103203238_icc_building_624x351_afp_nocredit.jpg)
Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake katika kesi ya naibu wa rais katika mahakama hiyo.
Ripoti za vyombo vya habari nchini Kenya zinasema kuwa mwili wa Meshash Yebei ulipatikana karibu na mto zaidi ya wiki moja baada ya kuonekana akibebwa na kuingizwa katika gari moja lisilo na nambari za usajili katika mji wa Eldoret,umbali wa kilomita 200.
Bwana Yebei...
10 years ago
BBCSwahili06 Jan
Shahidi wa Ruto ICC auawa Kenya
10 years ago
BBCSwahili14 Jan
Utata kuhusu shahidi wa ICC Kenya
9 years ago
BBCSwahili04 Jan
Mwanamuziki apatikana ameuawa Burundi
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Je,shahidi wa ICC aliyeuawa ni nani?
10 years ago
StarTV09 Mar
Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana
Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.
Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Shahidi mkuu kuhusu Rwanda atoweka Kenya
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mfungwa apatikana na simu mwilini Kenya
11 years ago
BBCSwahili23 May
Spika wa Bunge apatikana hai Kenya