Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mfungwa apatikana na simu mwilini Kenya

Mfungwa mmoja nchini Kenya amewashangaza watu baada ya simu tatu za mkononi kutolewa mwilini mwake. Aliziingizia wapi?

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MFUNGWA AMEZA SIMU NA CHAJA MBILI

Picha ya kipimo cha X-ray ikionesha simu na chaja zikiwa zimesagwasagwa ndani ya tumbo la mfungwa huyo. Simu na chaja alizomeza mfungwa huyo. Mfungwa akitoka kusalimia ndugu na jamaa zake. MFUNGWA mmoja (hakufahamika jina lake) nchini Brazil amemeza simu ya mkononi na chaja zake mbili wakati akijihami na kukataa kuingizwa gereza la Papunda liliyopo mji mkuu wa nchi hiyo, Brasilia. Tukio hilo lilitokea juzi wakati mfungwa huyo na...

 

10 years ago

Vijimambo

SHAHID WA ICC APATIKANA AMEUAWA KENYA


Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC
Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake katika kesi ya naibu wa rais katika mahakama hiyo.
Ripoti za vyombo vya habari nchini Kenya zinasema kuwa mwili wa Meshash Yebei ulipatikana karibu na mto zaidi ya wiki moja baada ya kuonekana akibebwa na kuingizwa katika gari moja lisilo na nambari za usajili katika mji wa Eldoret,umbali wa kilomita 200.
Bwana Yebei...

 

11 years ago

BBCSwahili

Spika wa Bunge apatikana hai Kenya

Spika wa Bunge la Embu nchini Kenya amepatikana hai baada ya kutoweka mapema wiki hii.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake

 

11 years ago

Ykileo

WANAOTUMA JUMBE ZA NGONO KUPITIA SIMU KUFUNGWA JELA NCHINI KENYA

Kwa mujibu wa tovuti ya "BBC SWAHILI"  Serikali ya Kenya imesema watu watakaopatikana na hatia ya kutuma ujumbe wa kingono kwa kutumia simu za kiganjani na intaneti watafungwa Jela.
Adhabu hiyo itawahusu wale wanaotuma ujumbe wenye picha za watu walio uchi na zenye mada ya ngono nchini humo.

Maafisa wakuu wa serikali wanasema kuwa yeyote atakayepatikana na hatia atafungwa jela kifungo cha miezi mitatu kwenda chini.


Afisa mkuu kutoka tume ya mawasiliano ya Kenya , Christopher Wambua,...

 

10 years ago

Bongo5

Sean Paul ajibu kuhusu tukio la kuibiwa simu lililotolea Kenya miaka 11 iliyopita jana

Katika hali ya kufurahisha au kushangaza, jana, April 1, staa wa dancehall kutoka nchini Jamaica, Sean Paul amejibu tetesi zilizowahi kuandikwa miaka 11 iliyopita kuhusu kuibiwa simu yake alipokuwa ziarani nchini Kenya. Sean Paul amepost picha ya habari iliyoandikwa kwenye blog moja ya nchini Kenya na kukanusha kilichoandikwa. “RRR!!! HABARI YENU!!! JUS WANT 2LET MY […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

JK amnusuru mfungwa EPA

MFANYABIASHARA, Ajay Somai, aliyetupwa jela kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa njia ya udanganyifu, anadaiwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Rufaa ya mfungwa miaka 46 baadaye

Raiya mmoja kutoka Japan amepata rufaa ya kusikizwa kwa kesi iliyomfunga miaka 46 iliyopita

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfungwa wa zamani amzomea 'waziri'

Mfungwa wa zamani wa kambi ya Guantanamo Bay David Hicks amemzomea waziri wa Australia akiituhumu serikali kuwa na habari kuhusu matesi aliyopitia mikononi mwa mwa wanajeshi wa Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani