Sean Paul ajibu kuhusu tukio la kuibiwa simu lililotolea Kenya miaka 11 iliyopita jana
Katika hali ya kufurahisha au kushangaza, jana, April 1, staa wa dancehall kutoka nchini Jamaica, Sean Paul amejibu tetesi zilizowahi kuandikwa miaka 11 iliyopita kuhusu kuibiwa simu yake alipokuwa ziarani nchini Kenya. Sean Paul amepost picha ya habari iliyoandikwa kwenye blog moja ya nchini Kenya na kukanusha kilichoandikwa. “RRR!!! HABARI YENU!!! JUS WANT 2LET MY […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL26 Mar
9 years ago
Mwananchi26 Aug
CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?
Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuutumia katika kuandaa ilani yake ya Uchaguzi Mkuu ya 2015-2020.
9 years ago
Bongo528 Oct
Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-HFAEOS6J_bg/VYlvmdv0FYI/AAAAAAAHi5U/zZ6WdfnCMu8/s72-c/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
Chikawe: Niliamua kugombea urais miaka mitano iliyopita
![](http://1.bp.blogspot.com/-HFAEOS6J_bg/VYlvmdv0FYI/AAAAAAAHi5U/zZ6WdfnCMu8/s640/unnamed%2B%252884%2529.jpg)
Waziri Chikawe, ambaye amekamilisha kazi ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania Bara na Zanzibar kama taratibu zinavyoelekeza, amesema uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo aliufanya baada ya...
10 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/images2.jpg)
AFGHANISTAN YASEMA MULLAH OMAR ALIKUFA MIAKA MIWILI ILIYOPITA
Aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Taliban, Mullah Omar anayedaiwa kufariki dunia. SERIKALI ya Afghanistan leo ilikuwa inachunguza kuvuja kwa habari miongoni mwa maofisa wake kwamba kiongozi wa Taliban, Mullah Omar, amefariki. Uchunguzi huo umekuja baada ya maofisa wa serikali kudai kwamba mpiganaji huyo aliyekuwa na jicho moja alifariki miaka miwili iliyopita kutokana na ugonjwa. Hata hivyo, msemaji wa Taliban, Zabihullah Mujahidin,...
5 years ago
BBCSwahili19 May
Wazazi wampata mtoto wao aliyeibiwa miaka 32 iliyopita China
Familia moja China, aliyoibiwa mtoto wao wa kiume katika hoteli mwaka 1988 imempata baada ya miaka 32.
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/dQZgH-n4K_o/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi29 Nov
DARUBINI YA MTATIRO :Nchi hii haikuwa na kiongozi miaka 10 iliyopita?
Tangu Rais Pombe Magufuli alihutubie na kulizindua Bunge la Kumi na Moja Ijumaa Novemba 20, mambo kadhaa yamewashangaza wafuatiliaji wa masuala hapa nchini.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania