Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO YA HARUSI YA PAUL OKOYE WA P-SQUARE ILIYOFANYIKA JUMAMOSI ILIYOPITA

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

P-SQUARE (PETER & PAUL OKOYE) PROFILE


P-Square are a Nigerian R&B duo composed of identical twin brothers Peter Okoye and Paul Okoye. They produced and released their albums through Square Records. In December 2011, they signed a record deal with Akon's Konvict Muzik label. In May 2012, they signed a record distribution deal with Universal Music South Africa.



The story of P-Square began in St. Murumba secondary school, a small Catholic school in Jos, Nigeria. Identical twins Peter and Paul joined their school music and drama club...

 

10 years ago

Bongo5

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye

Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki dunia Jumatatu Nov.24. Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku […]

 

10 years ago

Bongo5

Peter Okoye (P-Square) apata shavu la ubalozi wa Olympic Milk

Mmoja wa mapacha wa kundi la P-Square, Peter Okoye amechaguliwa kuwa balozi wa Olympic Milk. Dili hilo linadaiwa kuwa la mamilioni ya naira. Hii ni mara ya kwanza kwa mmoja wa ndugu hao kusaini mkataba wake mwenyewe kwakuwa mikataba mingi husaini pamoja. Wafuatiliaji wa burudani nchini Nigeria wanahisi hiyo inaweza kuwa ni dalili ya kutokuwepo […]

 

10 years ago

Bongo5

Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015

Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. P-Square na baba yao wakati wa mazishi ya mama yao Mzee huyo anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa January 30 huko nyumbani kwao Ifite Dunu, Anambra State. […]

 

11 years ago

GPL

MENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU

Jude “Engees” Okoye akiwa na mpenzi wake Ify Umeokeke. MENEJA na kaka wa P-Square, Jude “Engees” Okoye anatarajia kufunga ndoa ya kimila na mchumba wake, Ify Umeokeke mwezi huu. Wapenzi hao ambao walivishana pete Aprili 24 wakati wa bethidei ya Jude pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Ndoa yao inatarajiwa kufungwa Nnewi, Anambra nchini Nigeria. ...

 

10 years ago

Vijimambo

Picha za Reception ya Daisy na Dr. Asanterabi Malima iliyofanyika wikiend iliyopita June 6th, 2015 Boston, MA (USA) - Part 1

Bwana na Bibi harusi Daisy and Dr. Asanterabi Malima wakipata ukodak moment kabla ya kuingia ukumbini kwenye sherehe ya kuwakaribisha iliyofanyika mjini Boston, Massachusetts USA.Daisy and Dr. Asanterabi wakiendelea na ukodak moment. Sherehe hiyo iliandaliwa na familia ya marehemu Professor Kighoma Malima na marafiki zao. Harusi yao ilishafanyika siku zilizopita Dar es Salaam Tanzania.Daisy ni mtoto wa Mh. Dr. Asha-Rose Migiro na Dr. Asanterabi ni mtoto wa marehemu Professor Kighoma Malima.

 

10 years ago

CloudsFM

Valentine Day ilivyokuwa Escape One Jumamosi iliyopita

Ruby akitoa burudani siku ya Valentine Day,Escape One

 

10 years ago

Bongo5

Sean Paul ajibu kuhusu tukio la kuibiwa simu lililotolea Kenya miaka 11 iliyopita jana

Katika hali ya kufurahisha au kushangaza, jana, April 1, staa wa dancehall kutoka nchini Jamaica, Sean Paul amejibu tetesi zilizowahi kuandikwa miaka 11 iliyopita kuhusu kuibiwa simu yake alipokuwa ziarani nchini Kenya. Sean Paul amepost picha ya habari iliyoandikwa kwenye blog moja ya nchini Kenya na kukanusha kilichoandikwa. “RRR!!! HABARI YENU!!! JUS WANT 2LET MY […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani