Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Peter Okoye (P-Square) apata shavu la ubalozi wa Olympic Milk

Mmoja wa mapacha wa kundi la P-Square, Peter Okoye amechaguliwa kuwa balozi wa Olympic Milk. Dili hilo linadaiwa kuwa la mamilioni ya naira. Hii ni mara ya kwanza kwa mmoja wa ndugu hao kusaini mkataba wake mwenyewe kwakuwa mikataba mingi husaini pamoja. Wafuatiliaji wa burudani nchini Nigeria wanahisi hiyo inaweza kuwa ni dalili ya kutokuwepo […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Africanjam.Com

P-SQUARE (PETER & PAUL OKOYE) PROFILE


P-Square are a Nigerian R&B duo composed of identical twin brothers Peter Okoye and Paul Okoye. They produced and released their albums through Square Records. In December 2011, they signed a record deal with Akon's Konvict Muzik label. In May 2012, they signed a record distribution deal with Universal Music South Africa.



The story of P-Square began in St. Murumba secondary school, a small Catholic school in Jos, Nigeria. Identical twins Peter and Paul joined their school music and drama club...

 

9 years ago

Bongo5

Mdogo wa kiume wa Lupita Nyong’o, Peter Nyong’o apata shavu la kwanza la kuigiza filamu ya Hollywood

Mdogo wa kiume wa mwigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o aitwaye Peter Nyong’o ameanza kufata nyayo za dada yake kwa kupata shavu la kuigiza kwenye filamu mpya huko Hollywood. Peter amepata nafasi ya kucheza kwenye filamu ya ‘Nocturnal Animals’ ya Tom Ford ambayo itatoka mwakani 2016. Hii itakuwa ndio mara yake ya kwanza kugiza kwenye filamu […]

 

10 years ago

Bongo5

P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye

Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki dunia Jumatatu Nov.24. Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku […]

 

10 years ago

GPL

PETER OKOYE ALAANI VIPIGO KWA WANANDOA

Mwanamuziki Peter Okoye wa kundi la P-Square. HABARI za vipigo miongoni mwa wanandoa nyota na kuvunjika kwa ndoa zao zimekuwa zikiongezeka kila kukicha nchini Nigeria, jambo ambalo limemfanya mwanamuziki Peter Okoye wa kundi la P-Square kulivalia njuga akitaka likome.  Katika kuonyesha anavyochukia hali hiyo, Okoye ametengeneza T-Shirt inayolaani ‘Vipigo Majumbani kwa Wanandoa’.
Katika tukio moja la namna hiyo...

 

10 years ago

Bongo5

Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015

Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. P-Square na baba yao wakati wa mazishi ya mama yao Mzee huyo anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa January 30 huko nyumbani kwao Ifite Dunu, Anambra State. […]

 

11 years ago

GPL

MENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU

Jude “Engees” Okoye akiwa na mpenzi wake Ify Umeokeke. MENEJA na kaka wa P-Square, Jude “Engees” Okoye anatarajia kufunga ndoa ya kimila na mchumba wake, Ify Umeokeke mwezi huu. Wapenzi hao ambao walivishana pete Aprili 24 wakati wa bethidei ya Jude pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Ndoa yao inatarajiwa kufungwa Nnewi, Anambra nchini Nigeria. ...

 

10 years ago

GPL

WASTARA ALA SHAVU LA UBALOZI

Stori:  Imelda Mtema/Ijumaa Wikienda
MKALI wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amepata shavu la kuwa balozi wa kampeni ya kumsomesha mtoto wa kike ijulikanayo kama Morogoro Education Development Organization (MEDO). Mkali wa sinema za Kibongo, Wastara Juma akisaini mkataba wa kuwa balozi wa kampeni ya MEDO. Hafla fupi ya kusimikwa ubalozi huo na kusaini mkataba, ilifanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Hoteli ya Tamal,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani