Mr. Okoye (Baba yao P-Square) aliyefariki Nov 24, 2014 Kuzikwa leo Jan 30, 2015
Taarifa iliyowashtua wengi ni kuwa baba mzazi wa mapacha Peter na Paul wa kundi la P-Square la Nigeria, Mr. Moses Okoye aliyefariki dunia November 24 mwaka jana hakuzikwa mpaka sasa. P-Square na baba yao wakati wa mazishi ya mama yao Mzee huyo anatarajiwa kuzikwa leo Ijumaa January 30 huko nyumbani kwao Ifite Dunu, Anambra State. […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo525 Nov
P-Square waondokewa na baba yao mzazi Mr. Okoye
Miaka miwili baada ya kumpoteza mama yao mzazi, mapacha wa kundi la P-Square la Nigeria Peter na Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye wamepatwa na msiba mwingine. Wameondokewa na baba yao Mr Okoye aliyefariki dunia Jumatatu Nov.24. Vyanzo vya karibu vimesema kuwa Mr. Okoye alidondoka akiwa anaelekea hospitali huko jijini Lagos. Inadaiwa kuwa siku […]
10 years ago
BBCSwahili04 Sep
Mtoto aliyefariki baharini kuzikwa leo
Mwili wa mtoto uliopatikana ufuoni mwa bahari Uturuki atazikwa leo nyumban kwao baada ya babake kuruhusiwa kuchukua mwili wake
10 years ago
Africanjam.Com
P-SQUARE (PETER & PAUL OKOYE) PROFILE

P-Square are a Nigerian R&B duo composed of identical twin brothers Peter Okoye and Paul Okoye. They produced and released their albums through Square Records. In December 2011, they signed a record deal with Akon's Konvict Muzik label. In May 2012, they signed a record distribution deal with Universal Music South Africa.
The story of P-Square began in St. Murumba secondary school, a small Catholic school in Jos, Nigeria. Identical twins Peter and Paul joined their school music and drama club...
10 years ago
GPLMTOTO TABIA MKULUKUTE ALIYEFARIKI JANA BAADA YA KUGONGWA NA GARI BUNJU 'A' , KUZIKWA LEO
 Mtoto Tabia aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Bunju  A ambaye aligongwa na gari (mwenye gauni la njano) enzi ya uhai wake.  Gari la Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdillah Mkeyenge lilivyo haribiwa  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdallah Mkeyenge akizungumza na wanahabari namna ambavyo mkasa huo… ...
11 years ago
Bongo513 Oct
Peter Okoye (P-Square) apata shavu la ubalozi wa Olympic Milk
Mmoja wa mapacha wa kundi la P-Square, Peter Okoye amechaguliwa kuwa balozi wa Olympic Milk. Dili hilo linadaiwa kuwa la mamilioni ya naira. Hii ni mara ya kwanza kwa mmoja wa ndugu hao kusaini mkataba wake mwenyewe kwakuwa mikataba mingi husaini pamoja. Wafuatiliaji wa burudani nchini Nigeria wanahisi hiyo inaweza kuwa ni dalili ya kutokuwepo […]
11 years ago
GPL26 Mar
11 years ago
GPLMENEJA NA KAKA WA P-SQUARE JUDE “ENGEES” OKOYE KUFUNGA NDOA MWEZI HUU
Jude “Engees†Okoye akiwa na mpenzi wake Ify Umeokeke. MENEJA na kaka wa P-Square, Jude “Engees†Okoye anatarajia kufunga ndoa ya kimila na mchumba wake, Ify Umeokeke mwezi huu. Wapenzi hao ambao walivishana pete Aprili 24 wakati wa bethidei ya Jude pia wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza hivi karibuni. Ndoa yao inatarajiwa kufungwa Nnewi, Anambra nchini Nigeria. ...
9 years ago
GPL
9 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania