Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO TABIA MKULUKUTE ALIYEFARIKI JANA BAADA YA KUGONGWA NA GARI BUNJU 'A' , KUZIKWA LEO

 Mtoto Tabia aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la nne katika Shule ya Msingi Bunju  A ambaye aligongwa na gari (mwenye gauni la njano) enzi ya uhai wake.   Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdillah Mkeyenge lilivyo haribiwa  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju 'B' Abdallah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari namna ambavyo mkasa huo… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto Tabia Mkulukute apoteza maisha baada ya kugongwa na gari na kuzikwa leo Bunju ‘A’

Mtoto Tabia ambaye aliyegongwa na gari Pichani mwenye gauni la njano, enzi ya uhai wake.


Gari la  Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge lilivyoharibiwa.

Ofisa Mtendaji Mtaa wa Bunju ‘B’ Abdillah Mkeyenge  akizungumza na wanahabari mkasa ulivyo tokea kama alivyoona.

2 (3)

Maeneo ya jirani ya kituo hicho taswira ilivyokuwa ikionekana.

Wananchi wakiwa ng’ambo ya Barabara wakiangalia jinsi kituo kilivyochomwa moto.

Mwanahabari Jamaly Hashimu wa kituo cha TBC akipata taarifa...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

10 years ago

GPL

DENTI 'FORM FOUR' ALIYEFARIKI DUNIA SAA 3 KABLA YA MTIHANI

Stori: Mwandishi wetu NI SIMANZI! Msichana Yunis Festo aliyekuwa na umri wa miaka 18 akisoma kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Simba wa Yuda iliyoko katika Kijiji cha Bulima, wilaya ya Busega mkoani Simiyu, alifariki dunia ghafla, saa takriban tatu tu kabla ya kuanza mitihani ya kumaliza elimu ya sekondari, alfajiri ya Jumatatu wiki hii. Yunis Festo enzi za uhai wake. Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hili akiwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto aliyefariki baharini kuzikwa leo

Mwili wa mtoto uliopatikana ufuoni mwa bahari Uturuki atazikwa leo nyumban kwao baada ya babake kuruhusiwa kuchukua mwili wake

 

11 years ago

GPL

BAADA YA KIPIGO CHA 4-0, EKOTTO AMTWANGA 'NDOO' MWENZAKE

Benoit Assou-Ekotto (kulia) akimsogelea mwenzake Benjamin Moukandjo baada ya kipigo cha 4-0 kutoka kwa Croatia usiku wa kuamkia leo. Benoit Assou-Ekotto akimtwanga 'ndoo' Moukandjo.…

 

9 years ago

GPL

MPENZI WA MWIGIZAJI JIM CARREY AJIUA BAADA YA 'KUTEMWA'

Cathriona White  akiwa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwigizaji maarufu wa filamu za Hollywood, Jim Carrey. Cathriona White enzi za uhai wake. ....Wakijiachia ufukweni. Nyumba ulimokutwa mwili wa marehemu Cathriona White…

 

11 years ago

GPL

BIBI WA 'MTOTO WA BOKSI' ALIMLILIA MJUKUU WAKE

Bibi wa mtoto Nasrah Rashid, Bi. Asha Abdallah akilia kwa uchungu baada ya kupata taarifa za msiba wa mjukuu wake huko nyumbani kwake maeneo ya Mafisa mkoani Morogoro. Kushoto ni mwanae Khadija Hamisi. Bi. Asha akiwa na simanzi kwa kuondokewa na mjukuu wake Nasrah aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akitibiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar.…
...

 

10 years ago

GPL

'MTOTO WA NDEGE ZANZIBAR' AANIKA UCHAWI WAKE

Stori: Haruni Sanchawa na Denis Mtima SAKATA la mtoto Happiness (10) aliyetikisa kwa tukio la kupanda ndege kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Zanzibar bila kujulikana  limeibuka tena, safari hii katika sura mpya kufuatia mtoto huyo kufungua kinywa chake na kuanika mambo ya kichawi, Uwazi lina mkanda mzima. Mtoto Happiness  (10) anayeishangaza jamii kwa matukio ya kimazingara. Mtoto huyo aliyaanika mambo hayo mwishoni mwa...

 

11 years ago

GPL

DIDA AZUA TIMBWILI BAADA YA KUNG'ANG'ANIWA NA MWANAMKE MWENZAKE

Stori: Richard Bukos DUNIA ina mambo! Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ amezua timbwili baada ya kung’ang’aniwa na mwanamke mwenzake aliyedaiwa kutaka kumshawishi afanye naye mapenzi ya jinsi moja (usagaji). Prizenta wa Radio Times FM, Hadija Shaibu ‘Dida’ Dida alikumbwa na ishu hiyo, Alhamisi ya wiki iliyopita ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Kinondoni jijini Dar, wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani