Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chikawe: Niliamua kugombea urais miaka mitano iliyopita

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mathias Chikawe (pichani), ambaye ni mmoja wa wanachama wa CCM waliochukua fomu za kugombea kiti cha urais, amesisitiza kuwa uamuzi wa kugombea nafasi hiyo aliufikia miaka mitano iliyopita na kuwaomba wana-CCM kuwapuuza wale wanaosema hakupanga kuomba nafasi hiyo.
Waziri Chikawe, ambaye amekamilisha kazi ya kusaka wadhamini katika mikoa 15 ya Tanzania Bara na Zanzibar kama taratibu zinavyoelekeza, amesema uamuzi wake wa kugombea nafasi hiyo aliufanya baada ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

CCM itakumbukwa kwa lipi miaka MITANO iliyopita?

Mnyonge mnyongeni, lakini haki yake mpeni. Ni usemi wa wahenga ambao Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuutumia katika kuandaa ilani yake ya Uchaguzi Mkuu ya 2015-2020.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA C

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma...

 

10 years ago

Michuzi

NINATAKA URAIS WA MIAKA MITANO-SITTA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii, Tabora.
Waziri wa Uchukuzi,Samwel Sitta amesema kuwa anataka Urais wa miaka mitano kuweza kuivusha nchi katika kutokana na mambo yanayoonekana ikiwamo muungano,udini ,ungezeko la vijana.
Sitta ameyasema hayo leo wakati akitangaza nia ya kugombea urais katika mkutano uliofanyika katika viwanja  vya Ikulu ya Chifu Fundikira Kata ya Itetemia  mkoani Tabora.
Amesema mtu  yeyote makini ana nafasi ya Urais, hana budi   kuyapima mazingira ya taifa katika miaka mitano...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma...

 

10 years ago

GPL

Vijana wapiganie sasa haki ya kugombea urais, Vijana wasisubiri wazee wawaruhusu kugombea urais

Patrice Lumumba. Julius Nyerere. Na Walusanga Ndaki
IJUMAA moja ya alasiri na kiangazi jijini Dar es Salaam, mwandishi wa makala hii ambaye sasa ana umri wa miaka 60 alikuwa akifanya mzaha wa kupiga danadana mpira wa miguu nje ya ofisi yao kabla ya kwenda kwenye mechi ya soka kati ya timu ya ofisi yake na taasisi moja ya habari. Mwandishi huyo alifanya hivyo kwa umahiri mkubwa kwa kama dakika tano mbele ya wafanyakazi wenzake...

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: Miaka 54 mmeshindwa, miaka mitano mtaweza?

Kwanza kabisa napenda niwaombe radhi wasomaji wangu wa safu  hii ya   ‘Ukweli Utakuweka huru’ kwa kuzikosa  mada zangu kwa takriban  mwezi mmoja. Hali hii ilitokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu.

 

9 years ago

Bongo5

Diva amlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse amemlilia mpenzi wake aliyefariki miaka 12 iliyopita. Diva ametumia Instagram kuandika ujumbe mrefu unaosikitisha kueleza ni kwa kiasi gani anamkosa mtu huyo: 12 years My Love 12 years , hata siamini, kama ni kitabu yaan naandika nashindwa Malizia, wanasema kwenye Maisha unapenda Mara Moja tu, ama kweli Mara […]

 

10 years ago

GPL

AFGHANISTAN YASEMA MULLAH OMAR ALIKUFA MIAKA MIWILI ILIYOPITA

Aliyekuwa kiongozi Mkuu wa Taliban, Mullah Omar anayedaiwa kufariki dunia. SERIKALI ya Afghanistan leo ilikuwa inachunguza kuvuja kwa habari miongoni mwa maofisa wake kwamba kiongozi wa Taliban, Mullah Omar, amefariki. Uchunguzi huo umekuja baada ya maofisa wa serikali kudai kwamba mpiganaji huyo aliyekuwa na jicho moja alifariki miaka miwili iliyopita kutokana na ugonjwa.  Hata hivyo, msemaji wa Taliban, Zabihullah Mujahidin,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani