WAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA C
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (katikati) akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto ni Katibu wa Halmashauri Kuu Taifa (Nec) ya CCM wa Idara ya Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatibu. Kulia ni mkewe Waziri Chikawe, Profesa Amandina Lihamba. Tukio hilo la uchukuaji wa fomu lilifanya katika Ofisi za Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CCM
10 years ago
MichuziWaziri Magufuli achukua fomu ya kuomba Kuteuliwa Kugombea Urais kupitia CCM
10 years ago
VijimamboWAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015
10 years ago
MichuziJanuary Makamba achukua Fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea Urais 2015
January Makamba akionyesha kabrasha lenye fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kushoto...
5 years ago
MichuziRais Magufuli achukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kugombea Urais
5 years ago
MichuziMASAUNI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
10 years ago
GPLJANUARY MAKAMBA ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS 2015 JANA DODOMA
5 years ago
CCM BlogKADA WA 13 WA CCM, DK. ABDULHALIM MOHAMMED ALI ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR
5 years ago
CCM BlogMOHAMMED JAFFAR JUMANNE ACHUKUA FOMU ZA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZNIABAR KUPITIA CCM
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi Mhe.Mohammed Jaffar Jumanne, akikabidhiwa Fomu ya kuwania kuteuliwa na Chama chake kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar, akikabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo. Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Sasa waliochukua fomu wamefikia 7.