MFUNGWA AMEZA SIMU NA CHAJA MBILI
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/phone-2.jpg)
Picha ya kipimo cha X-ray ikionesha simu na chaja zikiwa zimesagwasagwa ndani ya tumbo la mfungwa huyo. Simu na chaja alizomeza mfungwa huyo. Mfungwa akitoka kusalimia ndugu na jamaa zake. MFUNGWA mmoja (hakufahamika jina lake) nchini Brazil amemeza simu ya mkononi na chaja zake mbili wakati akijihami na kukataa kuingizwa gereza la Papunda liliyopo mji mkuu wa nchi hiyo, Brasilia. Tukio hilo lilitokea juzi wakati mfungwa huyo na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo15 Mar
Simu katika chaja yaua msikilizaji
ALI Bakari Ali (20) mkazi wa Kisima Majongoo mjini Unguja amekufa baada ya simu yake aliyokuwa akitumia ambayo ilikuwa imeunganishwa na chaja ya umeme kupata hitilafu.
10 years ago
BBCSwahili11 Sep
Mfungwa apatikana na simu mwilini Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JH0C62scBfBAGAPHLlPZrpHStidnt23kPa5gvULAZZqH-g2NqW13jYmoFwhVPRJDD2kJNVMF8zCd2aFleTqbGe8QHUU1xaNI/1406194043645_wps_2_EXCLUSIVE_GUJARAT_INDIA_U.jpg)
CHATU AMEZA MTOTO WA SWALA INDIA
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Kiama cha wafanyakazi wa mizani chaja
Watendaji TANROAD, madereva wa malori wawekwa kikaangoni
MOHAMMED ISSA NA
MWAMVUA MWINYI
SERIKALI imesema itaingia mkataba maalumu na wafanyakazi wa mizani ya Vigwaza, Kibaha mkoani Pwani kwa lengo la kuwadhibiti ili wasiuchakachue na kupitisha magari yaliyozidisha mizigo.
Pia imewaonya baadhi ya watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, kuacha mara moja vinginevyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Mbali na hilo, imewatangazia kiama madereva...
9 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-Eq5mOmG7lQ0/VfpCdSkDCsI/AAAAAAAAJ2w/HYjdpDjK_PQ/s72-c/Super%2BBat.jpg)
KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO
![](http://2.bp.blogspot.com/-Eq5mOmG7lQ0/VfpCdSkDCsI/AAAAAAAAJ2w/HYjdpDjK_PQ/s640/Super%2BBat.jpg)
Na Daniel Mbega, MkomaziNI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi inayotenganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga.Uwanja unaonekana mweupe, hakuna ndege! Nikashangaa kwa sababu wenyeji wetu kampuni ya Bathawk Recon wametuambia tunakuja kushuhudia uzinduzi wa ndege maalum zinazopambana na ujangili.Kilichoonekana mbele yetu ni hema...
9 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-Eq5mOmG7lQ0/VfpCdSkDCsI/AAAAAAAAJ2w/HYjdpDjK_PQ/s640/Super%2BBat.jpg)
KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO
11 years ago
Tanzania Daima23 Jan
JK amnusuru mfungwa EPA
MFANYABIASHARA, Ajay Somai, aliyetupwa jela kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8 kutoka Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kwa njia ya udanganyifu, anadaiwa...
11 years ago
Mwananchi04 Apr
Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Mfungwa wa zamani amzomea 'waziri'