Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simu katika chaja yaua msikilizaji

ALI Bakari Ali (20) mkazi wa Kisima Majongoo mjini Unguja amekufa baada ya simu yake aliyokuwa akitumia ambayo ilikuwa imeunganishwa na chaja ya umeme kupata hitilafu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MFUNGWA AMEZA SIMU NA CHAJA MBILI

Picha ya kipimo cha X-ray ikionesha simu na chaja zikiwa zimesagwasagwa ndani ya tumbo la mfungwa huyo. Simu na chaja alizomeza mfungwa huyo. Mfungwa akitoka kusalimia ndugu na jamaa zake. MFUNGWA mmoja (hakufahamika jina lake) nchini Brazil amemeza simu ya mkononi na chaja zake mbili wakati akijihami na kukataa kuingizwa gereza la Papunda liliyopo mji mkuu wa nchi hiyo, Brasilia. Tukio hilo lilitokea juzi wakati mfungwa huyo na...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Kiama cha wafanyakazi wa mizani chaja



 Watendaji TANROAD, madereva wa malori wawekwa kikaangoni
MOHAMMED ISSA NA 
MWAMVUA MWINYI
SERIKALI imesema itaingia mkataba maalumu na wafanyakazi wa mizani ya Vigwaza, Kibaha mkoani Pwani kwa lengo la kuwadhibiti ili wasiuchakachue na kupitisha magari yaliyozidisha mizigo.
Pia imewaonya baadhi ya watendaji wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), wanaojihusisha na vitendo vya rushwa, kuacha mara moja vinginevyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.
Mbali na hilo, imewatangazia kiama madereva...

 

11 years ago

BBCSwahili

Milipuko yaua katika mabas 2 Nairobi

Watu kadhaa wamehofiwa kufariki na wengine kujeruhiwa kufuatia milipuko miwili katika mji mkuu wa Kenya Nairobi.

 

9 years ago

Vijimambo

KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO

Ndege aina ya Super Bat DA-50
Na Daniel Mbega, Mkomazi

NI majira ya saa tatu asubuhi Jumatano, Septemba 16, 2015 wakati tunawasili kwenye uwanja mdogo wa ndege (air strip) katika eneo la Kisima ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi inayotenganisha mikoa ya Kilimanjaro na Tanga.

Uwanja unaonekana mweupe, hakuna ndege! Nikashangaa kwa sababu wenyeji wetu kampuni ya Bathawk Recon wametuambia tunakuja kushuhudia uzinduzi wa ndege maalum zinazopambana na ujangili.Kilichoonekana mbele yetu ni hema...

 

9 years ago

GPL

KIAMA CHA MAJANGILI CHAJA, BATHAWK YAZINDUA NDEGE MAALUM KUPAMBANA NAO‏

Ndege aina ya Super Bat DA-50 Ndege zilizojaribiwa, DT-18 ilijaribiwa Tarangire   Hii ilitengenezwa Ufaransa. Ni ndogo sana, inaweza kuruka kwa saa mbili tu katika nusu kipenyo cha kilometa 15 kutoka ilipo mitambo. DT-26 ilijaribiwa Selous…

 

10 years ago

Vijimambo

Radi yapiga kanisa, yaua watu watano walikuwa katika ibada ya Pasaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Watu watano wamefariki dunia papo hapo katika kijiji cha Shilabela, kata ya Bwanga, wilayani Chato, mkoa wa Geita, baada ya kupigwa na radi wakati wakiendelea na ibada ya Sikukuu ya Pasaka.

Tukio hilo lilitokea juzi jioni kwenye Kanisa la Assemblies of God Tanzania (AGT) na kujeruhi watu wengine 18 wakati wakiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka. Kati ya majeruhi hao, wanne wamelazwa katika Zahanati ya Bwanga,...

 

9 years ago

Michuzi

SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI KATIKA TV LEO

Ch10: Je unafahamu wahariri wameruhusu habari gani kunako uwanja wa siasa Jumapili ya leo? fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/7f2OspbfSi4Star tv:Je kampeni za uraisi zimetoka na habari gani mpya? Tazama uchambuzi wa kina wa magazeti ya leo september 27. https://youtu.be/UE8J9qAR1twTbc: Je wafahamu yaliyo jiri kwenye ulingo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? Tazam uchambuzi wa magazeti hapa. https://youtu.be/VXrY_xIrq9c

 

11 years ago

Mwananchi

Ujumbe katika simu na haki za wateja

Ni dhahiri wengi tumewahi kupokea ujumbe mfupi wa maneno (sms) bila wenyewe kutaka, halafu hapo hapo utaona kiasi fulani cha fedha kimeondoka kutokana na ujumbe huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani