Radi yapiga kanisa, yaua watu watano walikuwa katika ibada ya Pasaka.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Joseph Konyo.
Watu watano wamefariki dunia papo hapo katika kijiji cha Shilabela, kata ya Bwanga, wilayani Chato, mkoa wa Geita, baada ya kupigwa na radi wakati wakiendelea na ibada ya Sikukuu ya Pasaka.
Tukio hilo lilitokea juzi jioni kwenye Kanisa la Assemblies of God Tanzania (AGT) na kujeruhi watu wengine 18 wakati wakiwa kwenye maadhimisho ya sikukuu ya kufufuka kwa Yesu Kristo, Pasaka. Kati ya majeruhi hao, wanne wamelazwa katika Zahanati ya Bwanga,...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-f9XJOejb-FU/VR6vliBakjI/AAAAAAAHPH0/IX4bevi1tEs/s72-c/MMGL2418.jpg)
IBADA YA IJUMAA KUU YA PASAKA KATIKA KANISA LA KKKT AZANIA FRONT JIJINI DAR LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-f9XJOejb-FU/VR6vliBakjI/AAAAAAAHPH0/IX4bevi1tEs/s1600/MMGL2418.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-ton7ExAcSbg/VR6vpVthVqI/AAAAAAAHPIw/wiFmhPX7G_w/s1600/MMGL2452.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-D1f8YNHrmFY/VR6vrT5K7lI/AAAAAAAHPJM/KfzSoThV_8Q/s1600/MMGL2526.jpg)
Sehemu ya Waumini wa Kanisa la KKKT Azania Front jijini Dar es Salaam, wakiwa kwenye Ibada ya Ijumaa Kuu leo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-KbHjVvkx1d8/VR6vzA3xyKI/AAAAAAAHPLM/pc3vRnuyayU/s1600/MMGL2920.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7KG1WK4u-PU/XvY7ySPj2EI/AAAAAAALvmw/4TkEtmYiBVUSJJ7Gp98J6KU7eZlek9kZACLcBGAsYHQ/s72-c/radi.jpeg)
RADI YAUA WATU WANNE, WENGINE 27 WAJERUHIWA WAKIWA KWENYE MTUMBWI WILAYANI UKEREWE
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
WATU wanne wameripotiwa kufariki Dunia na wengine 27 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa kwenye mtumbwi waliokua wakisafiria katika Ziwa Victoria wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Akizungunza leo kuhusu tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Muliro Jumanne amesema lilitokea Juni 23 mwaka huu ,saa mbili asubuhi katika Kitongoji cha Busele kilichopo Kata ya Bubiko wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.
Kamanda Muliro amesema mtumbwi huo wa abiria unaojulikana kwa...
11 years ago
Habarileo15 Apr
Maji yaua watu watano Dar
WATU watano wamekufa katika matukio matano tofauti baada ya kusombwa na maji katika maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam. Katika tukio la kwanza lililotokea Chanika, mtoto wa kike aliyefahamika kwa jina la Lainant Ramadhani (2) alikufa baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo jirani na nyumba yao.
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Ajali ya gari yaua watu watano Hai
10 years ago
Mwananchi30 Sep
Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja
11 years ago
Dewji Blog29 Jun
Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku ya mwisho wakaribisha watu mbalimbali katika Kanisa lao
Kiongozi wa shule ya Jumapili wa Kanisa la Yesu Kristo la Watakatifu wa siku za mwisho,Dr, Emanuel Kandusi akiwapatia maelezo mbalimbali kwa watu waliotembelea kanisa hilo wakati wa siku ya wazi kwa ajili ya watu mbalimbali kuangalia shughuli zinazofanywa na kanisa hilo.
Mwakilishi wa Darasa la Mkono msaidizi wa akina mama Happy Ayubu akitoa maelezo kwa watu waliotembelea kanisa hilo.
Baadhi ya watu waliotembelea kanisa hili wakipata maelekezo mbalimbali.
Baadhi ya watu waliotembelea...
10 years ago
MichuziIBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog04 Apr
Padri Audax Kaasa aongoza ibada katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar Es Salaam
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam, Katikati aliyeshikilia msalaba huo ni Padri Audax Kaasa wa kanisa hilo.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).
Mtoto Benedicta Mushi, ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Masaka English Medium akiubusu msalaba, wakati wa Ibada ya Ijumaa Kuu, kulia kwa mtoto huyo ni Baba mzazi Philip Mushi.
Waziri wa Mambo ya Nje...
10 years ago
GPLPAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO DAR