SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO KATIKA TV
![](http://img.youtube.com/vi/YUpG-fOWKhE/default.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/ALZSZA22W-w/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI KATIKA TV LEO
Ch10: Je unafahamu wahariri wameruhusu habari gani kunako uwanja wa siasa Jumapili ya leo? fuatilia uchambuzi wa magazeti. https://youtu.be/7f2OspbfSi4Star tv:Je kampeni za uraisi zimetoka na habari gani mpya? Tazama uchambuzi wa kina wa magazeti ya leo september 27. https://youtu.be/UE8J9qAR1twTbc: Je wafahamu yaliyo jiri kwenye ulingo wa siasa kuelekea uchaguzi mkuu? Tazam uchambuzi wa magazeti hapa. https://youtu.be/VXrY_xIrq9c
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/0gFnivfZUfc/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO
AZAM TV: Arsenal yapaa, Man united yashinda, Azam na Simba vitani Zanzibar, Liverpool chali, Chacharito ang’ara, Niyonzima atoa ya moyoni. Tazama uchambuzi wa magazeti ya leo. https://youtu.be/7l4a3gY8ngM
TBC: Kingunge ampa siku 100 Magufuli, Wananchi wavamia shamba la Sumaye, Basi lenye abiria 42 latumbukia mtoni, Mwigulu acharuka; Pata dondoo za magazeti ya leo. https://youtu.be/0gFnivfZUfc
STAR TV: Mchungaji Rwakatare aivimbia serikali, Wingu zito lazidi kutanda Zanzibar, Panga la...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/M4HsFYCP3oc/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI LEO
TBC: Pata dondoo za vichwa vya habari vilivyopewa umuhimu wa kipekee katika magazeti ya Jumapili ya leo.https://youtu.be/aH3bqEH_7RI AZAM TV: Tazama udondozi wa kina wa habari zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya juma pili ya leo. SIMUtv;http://youtu.be/RhvP6EYLk94 STAR TV: Usisite kutazama uchambuzi wa habari motomoto zilizopewa uzito wa juu katika magazeti ya leo Agosti 9. SIMUtv. http://youtu.be/RAe-c2la5tM
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AhNcQYJMvRE/default.jpg)
UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO NA SIMU TV
TBCSIMUtv: Tazama dondoo za vichwa vya habari katika kurasa za mbele na ndani katika magazeti ya leo hapa SimuTv; https://youtu.be/LFJf2oGCc2kAZAM TVSIMUtv: Tazama uchambuzi wa habari zilizopewa uzito wa hali ya juu katika magazeti ya leo ya Michezo. SIMUtv; https://youtu.be/DF0OJSDx6LE
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/8iOR1Ko6ioU/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO JULY 19
HABARI kubwa magazetini leo ni kuhusu mpasuko ndani ya CCM,Kuwa wa kwanza kufahamu kwa kuangalia uchambuzi hapa. SIMUtv; https://youtu.be/EZecrAoPpGA Tazama uchambuzi wa habari za magazeti zilizozua gumzo kuhusu kasumba ya makada na wafuasi wa ccm kuhamia ukawa.https://youtu.be/SbryuFdl5V0 Tazama uchambuzi wa habari za magazeti zilichomoza katika kurasa za mbele na ndani leo. SIMUtv;https://youtu.be/n7o4MR0Rqn8
10 years ago
Dewji Blog26 Jul
SIMU TV: Uchambuzi wa magazeti ya leo July 26
Simu tv: Mbowe hashikiki, avuna kura za “Ndiyo” 269 sawa na asilimia 98. Pata habari kamili katika dondoo za magazeti hapa Simu.Tv; https://youtu.be/pTiAWaYdabo
Simu tv: Urais UKAWA wafunikwa na wingu jeusi. Pitia uchambuzi wa habari zilizopewa vipaumbele katika magazeti ya leo July 26,2015; https://youtu.be/hB2GaEQxuVI
Simu tv: Yanga yasema hatuzuiliki, yahaidi kipigo kwa Khartum ya Sudan Kusini. Pata habari za michezo kama zilivyoandikwa katika magazeti ya...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/MAZtm5QSZmU/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA HABARI ZA MAGAZETI LEO
Ni saa 144 za kufa, kupona urais 2015, UKAWA, CCM wachuana Dar Kwa bendera. Pata dondoo za magazeti ya leo kupitia Simu.Tv; https://youtu.be/mY6Gr0QcaLI Hivi Msimbazi mmemsoma vyema kocha Dylan Kerr? Gazeti la Mwanaspoti linakuja na kichwa hicho cha habari, kufahamu zaidi hapa; https://youtu.be/JAyNHZ5uFq4 Pata habari za kisiasa,kiuchumu na kijamii zilizoandikwa katika magazeti ya leo Octoba 19.2015 hapa Simu.Tv; https://youtu.be/bfrb8qNb_uM
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/XaEpKGit_oA/default.jpg)
SIMU TV: UCHAMBUZI WA MAGAZETI LEO JUMAPILI
STAR TV: Gwajima aibuka amkana Lowassa, JK akataa nyumba, Magufuli apokea ripoti ya Zanzibar, Magufuli aibua hofu serikalini. Tazama uchambuzi wa kina wa magazeti.https://youtu.be/ISjhdGiq2Fk
CH10: Waziri mkuu kufanya ziara Kigoma, Prof. Lipumba awa gumzo London, Magufuli azua hofu serikalini, Gwajima amkana Lowassa. https://youtu.be/Nuj5jY8k27Y
AZAM TV: Yanga ya paa, Manchester united yazama, Simba yabanwa, Mashali afuta ufalme wa Cheka moro, Chelsea yashikwa, Leicester City yazimwa,...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/CqsysU-EcX8/default.jpg)
UCHAMBUZI WA MAGAZETI YA LEO NA TV MBALIMBALI KUPITIA SIMU TV
TBCSIMUtv: Habari kadhaa zimepewa uzito wa hali ya juu katika Magazeti ya Leo. Wajua ni habari gani? Tazama hapa. https://www.youtube.com/watch?v=0AJAUR8HoPI STAR TV Unajua leo June 27 kuna habari gani kuu katika magazeti ? Kuwa wa kwanza kufahamu kwa kuangalia uchambuzi hapa. SIMUtv https://www.youtube.com/watch?v=Oa-5Qa2Mse0
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania