Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shahidi mkuu kuhusu Rwanda atoweka Kenya

Shahidi mmoja muhimu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alitarajiwa kuhojiwa na majaji Ufaransa kuhusu kudunguliwa kwa ndege ya Juvenal Habyarimana ametoweka akiwa nchini Kenya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Utata kuhusu shahidi wa ICC Kenya

Afisaa mmoja wa polisi nchini Kenya amesema kwamba alama za vidole za mtu aliyeuawa na kutumbukizwa ndani ya mto hazionyeshi kuwa za shahidi wa ICC Meshack Yebei aliyepotea

 

10 years ago

StarTV

Mwili wa shahidi aliyeuawa Kenya wapatikana

Serikali ya Kenya imeutambua rasmi mwili wa jamaa mmoja uliopatikana katika mbuga ya wanyama, kuwa ni wa shahidi wa mahakama ya ICC, Meshack Yebei, katika kesi inayomkabili makamu wa rais wa Kenya, William Ruto.

Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari, uchunguzi wa chembechembe za DNA umehakikisha fika kuwa ni yeye.

Tangazo hilo linatarajiwa kuipa afueni familia ya Yebei, ambayo nusura izike mwili tofauti mnamo mwezi Januari, kabla ya kuambia kwamba mwili huo haukuwa wa mtoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa Ruto ICC auawa Kenya

Mwendesha Mkuu wa Mashtaka nchini Kenya ameamrisha kufanywan uchunguzi kufuatia mauaji ya shahidi mmoja kwenye kesi inayomkabili Naibu Rais William Ruto katika mahakama ya kimataifa ya ICC.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shahidi wa ICC apatikana ameuawa Kenya

Maafisa wa polisi nchini Kenya wameupata mwili wa shahidi muhimu wa mahakama ya ICC siku chache tu kabla ya kutoa ushahidi wake

 

11 years ago

BBCSwahili

Rwanda yaishtumu Ufaransa kuhusu mauaji

Serikali ya Ufaransa imetangaza kuwa inajiondoa katika maadhimisho ya miaka 20 tangia mauaji ya halaiki nchini Rwanda.

 

11 years ago

BBCSwahili

Jumuia yatoa ripoti kuhusu DRC na Rwanda

Wachunguzi kutoka jumuiya ya mataifa ya eneo la maziwa makuu wamechapisha ripoti kuhusu mapigano kati ya DRC na Rwanda.

 

10 years ago

TheCitizen

Lowassa: We’ll overtake Kenya, Rwanda

Njombe. Former Prime Minister Edward Lowassa says Tanzania has all the resources it needs to be the leading economic giant in East Africa, a dream he would attain if elected president.

 

10 years ago

BBCSwahili

Raia wa Rwanda na Kenya huru kuingia UG

Uganda imeondoa ada ya kibali cha kufanyia kazi nchini humo pamoja na mahitaji ya viza miongoni mwa raia wa Kenya na Rwanda

 

9 years ago

StarTV

Ofisi za Waziri Mkuu, Mkuu wa Mkoa zagongana kuhusu baa la njaa isimani iringa

Siku chache baada ya Star Tv kuripoti taarifa ya baa la njaa linalotishia maisha ya watu karibu ya 70,000 wa tarafa ya Isimani mkoani Iringa, ofisi mbili za Serikali zimegongana juu ya jambo hilo.

Wakati Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Iringa imekilaumu kitengo cha Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu kwa kutotoa ushirikiano wa kutosha hadi watu kufikia hatua ya kula matunda pori kama chakula chao kikuu, kitengo hicho kimekanusha madai hayo kwa maelezo kuwa kuna utaratibu wa kutoa chakula cha msaada na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani