Mkutano kuhusu Faru weupe Kenya
Mkutano wa kimataifa utakaojadili jinsi ya kukabiliana na biashara haramu ya pembe za wanyama wanaokabiliwa na tishio kubwa la kuangamia unatarajiwa kuanza hii leo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Kenya: Twiga weupe wa kipekee wameuawa eneo la Kaskazini
Twiga wa kipekee mtoto na mama yake wameuawa na wawindaji haramu
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Faru walio hatarini wasalia 3 pekee Kenya
Mmoja wa faru wanne weupe wenye asili ya kaskazini, ambao ndio waliosalia dunia pekee yao ,amefariki dunia 3 waliosalia wako Kenya
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OvILUXW7eKQ/VHq_ofggGgI/AAAAAAACvlE/ve302F_TY_4/s72-c/12.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA 3 WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI (EAC) KUHUSU MIUNDOMBINU JIJINI NAIROBI, KENYA
![](http://3.bp.blogspot.com/-OvILUXW7eKQ/VHq_ofggGgI/AAAAAAACvlE/ve302F_TY_4/s1600/12.jpg)
11 years ago
Mwananchi15 Apr
Watoto wa maskini ‘weupe’ shuleni
Watoto katika familia masikini ndio wanaoathirika kwa kiwango kikubwa kwa kushindwa kupata stadi za kuwawezesha kujua kusoma na kuandika wakiwa darasa la pili, ikilinganishwa na watoto waliopo katika familia tajiri.
5 years ago
BBCSwahili27 May
George Floyd: Maafisa wanne weupe wafutwa kazi kufuatia kifo cha mtu mweusi ambaye hakujihami
FBI inawachunguza polisi wa Minneapolis paada ya video inayomuonesha mtualiyeshikwa akisema "Siwezi kupumua".
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Mkutano kuhusu mzozo wa Libya wafutwa
Serikali ya Tunisia imefutilia mbali mkutano wa dharura kuhusu mzozo wa kisiasa nchini Libya.
11 years ago
BBCSwahili02 Apr
Mugabe asusia mkutano kuhusu CAR
Rais Robert Mugabe amesusia kongamano kuhusu hali katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati nchini Ubelgiji baada ya Muungano wa Ulaya kumnyima Visa mkewe Grace.
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mkutano kuhusu Burundi kufanyika Brussels
Mkutano wa ngazi za juu wa kujadili hali nchini Burundi utaanza leo mjini Brussels, Ubelgiji mada kuu ikiwa msukosuko wa kisiasa nchini humo na uhusiano wake na Umoja wa Ulaya.
10 years ago
BBCSwahili16 Jun
Mkutano kuhusu wahamiaji wafanyika Ulaya
Mawaziri kutoka nchi za Ulaya wanakutana nchini Luxembourg hii leo kuzungumzia mipango ya kukabiliana na maelfu ya wahamiaji
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania