Mkutano kuhusu mzozo wa Libya wafutwa
Serikali ya Tunisia imefutilia mbali mkutano wa dharura kuhusu mzozo wa kisiasa nchini Libya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mkutano kuhusu mzozo wa Syria waanza-Uswizi
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ameambia pande zinazozozana nchini Syria kuwa wakati umefika wa kufanya mashauriano ya kusitisha mzozo huo
9 years ago
BBCSwahili06 Dec
Mabunge 2 ya Libya kutatua mzozo wa kisiasa
Mabunge mawili yanayopingana ya Libya, yamefikia makubaliano ya awali, yanayolenga kutatua msukosuko wa kisiasa nchini humo.
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Mkutano wa Nobel A.Kusini wafutwa
Mkutano wa washindi wa taji la Nobel unaotarajiwa kufanyika mjini Cape Town umefutiliwa mbali
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Mzozo wa wahamiaji kutawala mkutano wa EU
Ujerumani na mataifa mengine yatashauriana na Uturuki jinsi ya kuwapa makao maelfu ya wakimbizi wa Syria kabla ya mkutano wa mwisho wa mwaka wa viongozi wa mataifa wa Umoja wa Ulaya.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mzozo kuhusu mshindi wa 'Mr Ugly' Zimbabwe
Mzozo umekumba mashindano ya mtu mwenye sura mbaya zaidi huko Zimbabwe baada ya bingwa mara tatu kushindwa
11 years ago
Mwananchi18 Mar
Wasomi, wajumbe watofautiana kuhusu mzozo wa kanuni
Hatua ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kelele na kulivunja jana wakipinga uvunjaji wa kanuni, imepokewa kwa hisia tofauti na baadhi ya wasomi na wanaharakati, huku baadhi wakisema ilikuwa ni sahihi na wengine wakipinga.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wajumbe wa Libya waafikiana kuhusu serikali
Wawakilishi kutoka mabunge hasimu nchini Libya wametia saini mkataba wa kuundwa kwa serikali ya umoja, kufuatia mashauriano nchini Morocco.
10 years ago
BBCSwahili11 Aug
Mazungumzo ya amani kuhusu Libya yaanza
Mazungumzo kuhusu Libya yalioidhinishwa na Umoja wa mataifa yameanza huko Geneva leo yanayonuiwa kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
9 years ago
Mwananchi10 Sep
MAONI : Mfano wa Dk Magufuli kuhusu Libya unapotosha
Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli alinukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari akiwaasa Watanzania wasitamani mabadiliko ya haraka, kwani hayana tija.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania