Wasomi, wajumbe watofautiana kuhusu mzozo wa kanuni
Hatua ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kupiga kelele na kulivunja jana wakipinga uvunjaji wa kanuni, imepokewa kwa hisia tofauti na baadhi ya wasomi na wanaharakati, huku baadhi wakisema ilikuwa ni sahihi na wengine wakipinga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Gu0ReCRX5E4/default.jpg)
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Msimamo kuhusu Iran watofautiana
Wajumbe wa mazungumzo ya mpango nyuklia wa Iran wanaokutana nchini Switzerland kutafuta suluhu ya pamoja.
11 years ago
KwanzaJamii11 Aug
TIBAIJUKA, NDUNGULILE WATOFAUTIANA KUHUSU KIGAMBONI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ameendelea kutofautiana na Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, kuhusiana na ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
Hali hiyo ilijitokeza jana jijini Dar es Salaam walipokutana katika mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa jimbo hilo, wakiwamo madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa.
Profesa Tibaijuka alimtaka Dk. Ndungulile kuacha kuwapotosha wananchi kuwa mradi mpya wa Kigamboni haupo, badala yake...
11 years ago
Mwananchi21 Apr
Nchemba, Polepole watofautiana kuhusu gharama za Shirikisho
Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amesema vyanzo vya mapato vilivyopendekezwa katika Rasimu ya Katiba, havitoshi kuendesha Serikali ya shirikisho.
11 years ago
Mwananchi12 Apr
Mkumba sasa akiri kanuni kutowafurahisha wajumbe
Mwenyekiti wa kikundi cha Tanzania Kwanza kinachoundwa na wajumbe wengi wa CCM katika Bunge la Katiba, Said Mkumba amekiri wajumbe wake, kukosa umakini katika kupitisha kanuni za bunge ambayo inaelekeza wenyeviti wa kamati, kusoma maoni ya kamati ya walio wengi na wachache na kutoa muda wa kufafanua hoja zao.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Mzozo kuhusu mshindi wa 'Mr Ugly' Zimbabwe
Mzozo umekumba mashindano ya mtu mwenye sura mbaya zaidi huko Zimbabwe baada ya bingwa mara tatu kushindwa
11 years ago
BBCSwahili01 Jun
Mkutano kuhusu mzozo wa Libya wafutwa
Serikali ya Tunisia imefutilia mbali mkutano wa dharura kuhusu mzozo wa kisiasa nchini Libya.
11 years ago
Mwananchi15 Mar
‘Msipofuata kanuni, tusilaumiane,’ Sitta awaonya wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]
>Sitta aasa wajumbe wafanye kazi iliyowapeleka Dodoma bila manung’uniko wala lawama.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania