Mkutano kuhusu wahamiaji wafanyika Ulaya
Mawaziri kutoka nchi za Ulaya wanakutana nchini Luxembourg hii leo kuzungumzia mipango ya kukabiliana na maelfu ya wahamiaji
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMkutano Mkuu wa Bandari za Africa na Ulaya Wafanyika Mombasa
Baadhi ya wajumbe wa mkutano huo wakisikiliza hotuba , Kushoto ni mjumbe toka Afrika kusini katikati ni Mkurugenzi wa ICT TPA Ndg. Phares Magesa, na kulia ni Mkurugenzi Mkuu TPA Eng.Madeni Kipande Ndg. Magesa akifuatilia mkutano huo Gavana wa County ya Kwale akitoa hotuba kwenye ufunguzi na kumkaribisha Mgeni rasmi kufungua mkutano huo Waziri wa Biashara na Viwanda wa Kenya Mhe. Adan Mohamed akitoa hotuba rasmi ya ufunguzi wa mkutano huo.Baadhi ya wajumbe kutoka kushoto ni Mkurugenzi...
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Majibizano makali kuhusu wahamiaji Ulaya
Kumeibuka majibizano makali baina ya viongozi wa mataifa ya bara ulaya katika mkutano wa kujadili hatima ya wahamiaji Ulaya
5 years ago
MichuziMkutano wa Dharura wa Maafisa Waandamizi wa SADC kuhusu Covid-19, wafanyika Dar kwa njia ya Mtandao (video conference)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Kanali. Wilbert Ibuge akiendesha Mkutano wa dharura kwa njia ya video ambao unawahusisha Maafisa Waandamizi Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kuhusu mwenendo ya mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Corona (Covid-19), mkutano ambao umefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania.Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali kutoka...
10 years ago
MichuziMKUTANO KUHUSU UENDELEZAJI WA MJI MPYA WA KIGAMBONI WAFANYIKA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALAIMU NYERERE,JIJINI DAR
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Willium Lukuvi akizungumza na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam ambapo ameruhusu upimaji wa vipande vya ardhi na utoaji wa hatimiliki za ardhi uliokuwa umezuiliwa tangu kutangazwa kwa mradi huo.Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angellah Kairuki akizungumza katika mkutano na wadau kuhusu mpango wa uendelezaji wa mji mpya wa Kigamboni, Dar es Salaam.Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
9 years ago
BBCSwahili15 Sep
Wahamiaji:Mataifa ya Ulaya yatofautiana
Naibu Chansela wa Ujerumani ameelezea ghadhabu zake kutokana na hatua ya mawaziri wa muungano wa Ulaya kushindwa kukubaliana kuhusu mpango wa kugawana wahamiaji.
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Wahamiaji:Muungano wa Ulaya wapingwa
Makundi ya kupigania haki za kibinadamu yamesema kuwa mikakati ilioafikiwa na muungano wa Ulaya kuzuia wahamiaji sio ufumbuzi.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Suala la wahamiaji Ulaya kitendawili
Nchi za Umoja wa Ulaya zimeshindwa kuafikiana namna ya kuwahudumia watu wanaoingia barani humo kuomba hifadhi
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Umoja wa Ulaya na tatizo la wahamiaji
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana na tatizo la wahamiaji.
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Wahamiaji waokolewa pwani ya Ulaya
Wahamiaji zaidi ya 300 wameokolewa kutoka pwani ya bahari nchini Italia na Ugiriki katika matukio tofauti.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania