Wahamiaji waokolewa pwani ya Ulaya
Wahamiaji zaidi ya 300 wameokolewa kutoka pwani ya bahari nchini Italia na Ugiriki katika matukio tofauti.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili17 Feb
Wahamiaji 2000 waokolewa baharini
Wanamaji wa Italia wamewaokoa wahamiaji haramu 2000 katika moja ya operesheni kubwa zaidi karibu na ufukwe wa Libya
10 years ago
BBCSwahili20 May
Wahamiaji waliokwama baharini waokolewa
Hatimaye Malaysia, Thailand na Indonesia zimekubaliana kuwapa makazi ya muda wahamiaji 7000 waliokwama baharini
10 years ago
GPL
WAHAMIAJI 7000 WALIOKWAMA BAHARINI WAOKOLEWA
Wahamiaji wa Nymnar na Bangladesh waliokwama baharini kwa wiki kadhaa sasa. Baadhi ya wahamiaji waliookolewa. Wawakilishi wa mataifa matatu ya bara Asia walipokutana mapema leo…
11 years ago
BBCSwahili04 May
Wahamiaji haramu waokolewa nchini Sudan
Mamia ya wahamiaji haramu wamewasili katika mji wa kazkazni mwa Sudan,Dongola baada ya kuokolewa katika jangwa.
10 years ago
BBCSwahili15 May
Wahamiaji 600 waokolewa na wavuvi Indonesia
Zaidi ya wahamiaji mia sita wamewasili katika mkoa wa Aceh nchini Indonesia baada ya kuokolewa na wavuvi mashua yao ilipokuwa ikizama.
10 years ago
GPL
WAHAMIAJI 2000 WAOKOLEWA KATIKA BAHARI YA MEDITERRANIAN
Wahamiaji wakiwa kwenye boti ndogo kabla ya kuokolewa. Walinzi wa pwani ya Italia wameongoza shughuli ya kuwaokoa wahamiaji 2,000 ambao walituma ishara ya kuwa taabani kwenye mashua nje ya pwani ya Libya. Baadhi ya wahamiaji waliookolewa. Bahari baina ya Libya na Italia, ndio njia inayotumiwa kwa muda mrefu na wakimbizi kutoka Afrika na Mashariki ya Kati, ili kuingia Ulaya.Umoja wa Mataifa umesema kuwa bahari ya Mediterranian...
10 years ago
BBCSwahili16 Apr
Wahamiaji 40 wafa maji pwani ya Italy
Zaidi ya watu 40 wamekufa maji katika pwani ya Sicily nchini Itali
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Wahamiaji:Muungano wa Ulaya wapingwa
Makundi ya kupigania haki za kibinadamu yamesema kuwa mikakati ilioafikiwa na muungano wa Ulaya kuzuia wahamiaji sio ufumbuzi.
10 years ago
BBCSwahili14 Sep
Wahamiaji:Mawaziri wa Ulaya wakutana
Mawaziri wa sheria na mambo ya ndani kutoka nchi za Ulaya wanafanya mkutano wa dharura kuzungumzia tatizo la uhamiaji.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania