Wahamiaji:Mawaziri wa Ulaya wakutana
Mawaziri wa sheria na mambo ya ndani kutoka nchi za Ulaya wanafanya mkutano wa dharura kuzungumzia tatizo la uhamiaji.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Mawaziri wa EU wajadali kuhusu wahamiaji
Mkuu wa sera kwenye Muungano wa Ulaya anasema kuwa Ulaya ina wajibu wa kukabiliana na hali inayozidi kuwa mbaya kuhusu wahamiaji
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
Mawaziri EU waafikiana kuhusu wahamiaji
Mawaziri wa masuala ya ndani EU wamekubaliana kuhusu mpango wa kuwapokea wahamiaji 120,000 walioingia katika bara Ulaya.
9 years ago
BBCSwahili25 Aug
Umoja wa Ulaya na tatizo la wahamiaji
Viongozi wa Ufaransa na Ujerumani wamezitaka nchi za Umoja wa Ulaya kufanya kazi pamoja kuweza kukabiliana na tatizo la wahamiaji.
9 years ago
BBCSwahili03 Sep
Wahamiaji ni changamoto kwa Ulaya
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron alitetea uamuzi wa Serikali yake kutowaruhusu wahamiaji wengi
9 years ago
BBCSwahili30 Aug
Wahamiaji : nchi za ulaya zakosolewa
Waziri wa mashauri ya kigeni nchini Ufaransa ameelezea hisia za nchi za ulaya dhidi ya suala la uhamiji kuwa sawa na sakata.
10 years ago
BBCSwahili17 Jun
Suala la wahamiaji Ulaya kitendawili
Nchi za Umoja wa Ulaya zimeshindwa kuafikiana namna ya kuwahudumia watu wanaoingia barani humo kuomba hifadhi
10 years ago
BBCSwahili24 Apr
Wahamiaji:Muungano wa Ulaya wapingwa
Makundi ya kupigania haki za kibinadamu yamesema kuwa mikakati ilioafikiwa na muungano wa Ulaya kuzuia wahamiaji sio ufumbuzi.
11 years ago
BBCSwahili03 Jan
Wahamiaji waokolewa pwani ya Ulaya
Wahamiaji zaidi ya 300 wameokolewa kutoka pwani ya bahari nchini Italia na Ugiriki katika matukio tofauti.
9 years ago
BBCSwahili19 Sep
Wahamiaji wasababisha msukosuko ulaya
Kumekuwa na dalili za kuongezeka misukosuko kati ya nchi za ulaya wakati zinapojaribu kukabiliana na maelfu ya wahamiaji
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania