Mawaziri EU waafikiana kuhusu wahamiaji
Mawaziri wa masuala ya ndani EU wamekubaliana kuhusu mpango wa kuwapokea wahamiaji 120,000 walioingia katika bara Ulaya.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Mawaziri wa EU wajadali kuhusu wahamiaji
Mkuu wa sera kwenye Muungano wa Ulaya anasema kuwa Ulaya ina wajibu wa kukabiliana na hali inayozidi kuwa mbaya kuhusu wahamiaji
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Syria: Wajumbe waafikiana kuhusu Homs
Serikali ya Syria, imesema itawaruhusu watoto pamoja na wanawake kuondoka katika mji uliozingirwa wa Homs.
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Wajumbe wa Libya waafikiana kuhusu serikali
Wawakilishi kutoka mabunge hasimu nchini Libya wametia saini mkataba wa kuundwa kwa serikali ya umoja, kufuatia mashauriano nchini Morocco.
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Wahamiaji:Mawaziri wa Ulaya wakutana
Mawaziri wa sheria na mambo ya ndani kutoka nchi za Ulaya wanafanya mkutano wa dharura kuzungumzia tatizo la uhamiaji.
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Uhamiaji:Ripoti kuhusu wahamiaji 4
BBC imewafuata wahamiaji wanne na hii hapa mukhtasari wa safari yao ya kutafuta maisha mazuri nga'mbo
11 years ago
BBCSwahili15 Feb
Uhispania motoni kuhusu wahamiaji
Tume ya bara ulaya yaitaka Uhispania kuelezea hatua yake ya kutumia risasi za mipira dhidi ya kundi la wahamiaji kutoka afrika
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Mjadala mkali kuhusu wahamiaji EU
Tatizo la wahamiaji imekuwa agenda kuu na kuzusha mjadala mkali katika mkutano wa Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa muungano wa ulaya mjini Luxermbourg.
9 years ago
BBCSwahili26 Oct
Majibizano makali kuhusu wahamiaji Ulaya
Kumeibuka majibizano makali baina ya viongozi wa mataifa ya bara ulaya katika mkutano wa kujadili hatima ya wahamiaji Ulaya
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania