Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjadala mkali kuhusu wahamiaji EU

Tatizo la wahamiaji imekuwa agenda kuu na kuzusha mjadala mkali katika mkutano wa Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa muungano wa ulaya mjini Luxermbourg.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mjadala mkali kutikisa bunge


NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum,  na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...

 

10 years ago

Habarileo

Mjadala mkali wabunge kuteuliwa kuwa mawaziri

SUALA la mawaziri kuwa wabunge au hapana, limezua mjadala mkali katika vikao vya kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 10, Salmin Awadhi Salmin, alisema katika kamati yake mjadala kuhusu Rasimu ya Katiba ni mzuri na wajumbe wamekuwa wakitoa hoja mbalimbali za kuiboresha.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali

Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa APPT Maendeleo, Peter Mziray, ameshauri kuwe na mjadala mkali na wenye hisia kali kuhusu muundo wa Serikali ya Jamhuri.

 

11 years ago

Mwananchi

Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]

Kutokana na uzito wa mjadala huo wa kura, mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba, Pandu Ameir Kificho, alilazimika kusogeza mbele muda wa kumaliza kikao hicho hadi saa tatu usiku.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW


Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena. 
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala kuhusu usawa wa jinsia

Usawa wa jinsia na kuwezesha wanawake yamekuwa masuala makuu barani Afrika, lakini kumekuwa na hisia tofauti kuhusu juhudi za wanawake kupigania usawa.

 

9 years ago

Michuzi

MJADALA KUHUSU UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila azungumzia dhana ya ufisadi na aina za viongozi tunaohitaji kuwapatia Ikulu.https://youtu.be/ytmMOP7RTrE  
Mwenyekiti wa DP Mchungaji Mtikila azungumzia umuhimu wa afya bora kwa wagombea uraisi kwani ni nafasi nyeti katika taifa.https://youtu.be/ku4Qb4R8b10   
Mchungaji Mtikila awachambua wagombea uraisi wa CCM na Chadema na ahadi zao za kutoa elimu bure kama vipaumbele vyao.https://youtu.be/0Tr1Mt94Px0      
Mchungaji Christopher Mtikila amkataa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wakilii azua mjadala kuhusu ubakaji UK

Wakili mmoja nchini Uingereza amesema kuwa wanaume hawafai kushtakiwa na ubakaji iwapo mwanamke aliyetendewa uovu huo amelewa

 

10 years ago

BBCSwahili

Mjadala kuhusu mavazi.Ni kipi sawa?

Je ni sawa mwanamke kuambiwa anachofaa kuvaa? Hii na kauli ya baadhi ya watanzania kuhusiana na mjadala huu wa mavazi na wanawake kuvuliwa sketi fupi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani