Mjadala mkali wabunge kuteuliwa kuwa mawaziri
SUALA la mawaziri kuwa wabunge au hapana, limezua mjadala mkali katika vikao vya kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 10, Salmin Awadhi Salmin, alisema katika kamati yake mjadala kuhusu Rasimu ya Katiba ni mzuri na wajumbe wamekuwa wakitoa hoja mbalimbali za kuiboresha.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Nape: Ridhiwani kuwa mkali kwa mawaziri
KATIBU wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye, amemtaka mgombea ubunge wa jimbo hilo, Ridhiwani Kikwete, kuwa mkali na kuwafuatilia mawaziri ili kuhakikisha utekelezaji wa...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Mjadala mkali kutikisa bunge
NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...
9 years ago
BBCSwahili05 Sep
Mjadala mkali kuhusu wahamiaji EU
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-xPvYq6HfUTA/VHjvC85Pa9I/AAAAAAAG0EM/PrCoOPstzok/s72-c/1.jpg)
news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW
![](http://1.bp.blogspot.com/-xPvYq6HfUTA/VHjvC85Pa9I/AAAAAAAG0EM/PrCoOPstzok/s1600/1.jpg)
Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena.
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
Wabunge 10 watikisa mjadala wa bajeti 2015
10 years ago
MichuziSPIKA MAKINDA APONGEZWA KWA KUTEULIWA KUWA RAIS WA MABUNGE YA SADC,MJINI DODOMA