Mjadala mkali kutikisa bunge
NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania12 Sep
Mjadala Mahakama ya Kadhi wazidi kutikisa Bunge

Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Abdallah Mtutura (CCM), amewataka wajumbe wa Bunge hilo ambao ni Waislamu, washirikiane kuipinga Rasimu ya Katiba kama Mahakama ya Kadhi haitaruhusiwa katika Katiba mpya.
Akichangia sura za nne na 10 za Rasimu ya Katiba bungeni mjini hapa juzi, Mtutura alisema kitendo cha baadhi ya wajumbe kuonyesha dalili za kuipinga mahakama hiyo, hakiwezi kukubalika kwa kuwa ni muhimu kwa Waislamu wanaoiamini.
“Mheshimiwa Makamu...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Kura ya siri yazua mjadala mkali #Bunge la #Katiba [VIDEO]
10 years ago
Michuzi
news alert: SPIKA ASITISHA BUNGE HADI WATAPOJADILIANA TENA BAADA YA SINTOFAHAMU WAKATI WA MJADALA MKALI WA SAKATA LA ESCROW

Sintofahamu iliyotokea kwenye kikao cha Bunge mjini Dodoma Ijumaa Novemba 28, 2014 imepelekea Spika Anne Makinda (pichani) kulazimika kusitisha shughuli za Bunge mpaka hapo watapojadiliana tena.
Hii ni baada ya majadiliano makali kuhusu kuwajibishwa ama la kwa viongozi wanaohusika na sakata la akaunti ya Escrow. Hali hii iliibuka baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na kambi ya upinzani Bungeni Mhe Freeman Mbowe kuinuka na kusema kuwa Bunge kufikisha saa tano kasoro ni historia, na kwamba kuna...
10 years ago
BBCSwahili05 Sep
Mjadala mkali kuhusu wahamiaji EU
11 years ago
Habarileo16 Aug
Mjadala mkali wabunge kuteuliwa kuwa mawaziri
SUALA la mawaziri kuwa wabunge au hapana, limezua mjadala mkali katika vikao vya kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mjini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini hapa, Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 10, Salmin Awadhi Salmin, alisema katika kamati yake mjadala kuhusu Rasimu ya Katiba ni mzuri na wajumbe wamekuwa wakitoa hoja mbalimbali za kuiboresha.
11 years ago
Mwananchi20 Feb
Kiongozi APPT ataka mjadala mkali muundo wa Serikali
11 years ago
Tanzania Daima30 Oct
IPTL kutikisa Bunge
HATIMAYE sakata lililosumbua Bunge lililopita na kuzungumziwa nje ya Bunge kuhusu ufisadi wa fedha zaidi ya sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow, ripoti yake imekamilika na imefikishwa kwa Katibu...
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Ufisadi mpya kutikisa Bunge
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Hoja nane kutikisa Bunge leo
MBIVU na mbichi za bajeti ya mwaka 2014/2015 ya sh trilioni 19.8, inatarajia kujulikana leo wakati Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, atakapohitimisha hoja hiyo baada ya mjadala...