Ufisadi mpya kutikisa Bunge
>Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kesho itawasha moto upya bungeni wakati itakaposoma ripoti maalumu ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), ikitarajiwa kuibua kashfa tatu nzito ikiwamo ya misamaha ya kodi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
IPTL kutikisa Bunge
HATIMAYE sakata lililosumbua Bunge lililopita na kuzungumziwa nje ya Bunge kuhusu ufisadi wa fedha zaidi ya sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow, ripoti yake imekamilika na imefikishwa kwa Katibu...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Mjadala mkali kutikisa bunge
NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Hoja nane kutikisa Bunge leo
MBIVU na mbichi za bajeti ya mwaka 2014/2015 ya sh trilioni 19.8, inatarajia kujulikana leo wakati Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, atakapohitimisha hoja hiyo baada ya mjadala...
10 years ago
Mtanzania17 Nov
Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge
Bunge
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali na fedha, yenye thamani ya Sh bilioni 10.8, unatarajiwa kulitikisa Bunge leo.
Hatua hiyo inatokana na mvutano ulioibuka mwishoni mwa wiki iliyopita miongoni mwa wabunge, kundi moja likitaka azimio hilo lipite na wengine wakipinga hatua hiyo wakisema ni sawa na ufisadi.
Hasara hiyo imetokana na sababu mbalimbali ikiwamo wizi na udokozi uliofanywa...
10 years ago
Habarileo02 Feb
Mahakama ya Kadhi, ripoti ya Msolla kutikisa Bunge
BUNGE linaendelea na mkutano wake wa 18, ambao kamati mbalimbali zitaendelea kuwasilisha taarifa kwa ajili ya majadiliano. Licha ya kamati za kisekta na zisizo za kisekta, kabla ya Bunge kuahirishwa wiki hii, pia Kamati Teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua Sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi, pia itawasilisha taarifa yake.
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Mjadala Mahakama ya Kadhi wazidi kutikisa Bunge
Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Abdallah Mtutura (CCM), amewataka wajumbe wa Bunge hilo ambao ni Waislamu, washirikiane kuipinga Rasimu ya Katiba kama Mahakama ya Kadhi haitaruhusiwa katika Katiba mpya.
Akichangia sura za nne na 10 za Rasimu ya Katiba bungeni mjini hapa juzi, Mtutura alisema kitendo cha baadhi ya wajumbe kuonyesha dalili za kuipinga mahakama hiyo, hakiwezi kukubalika kwa kuwa ni muhimu kwa Waislamu wanaoiamini.
“Mheshimiwa Makamu...
10 years ago
Mtanzania08 Jun
Bunge lanusa ufisadi wa Sh Trilioni 1.5
NA ARODIA PETER, DODOMA
KAMATI ya Bunge ya Uchumi, Viwanda na Biashara, imeitaka Serikali kulieleza Bunge matumizi ya zaidi ya Sh trilioni 1.5 ambazo hazina maelezo kutoka Hazina ingawa zinaonekana zimetumika kulipa sehemu ya deni la taifa. Deni a Taifa limeongezeka na kufikia zaidi ya Sh trilioni 40 kwa miaka miwili.
Akiwasilisha maoni ya kamati yake kwa mwaka 2015/2016, mwenyekiti wake, Luhaga Mpina alisema kwa mujibu wa vielelezo vilivyotolewa mbele ya kamati, zilionyesha katika kipindi...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Dk. Slaa: Bunge lichunguzwe kwa ufisadi
SIKU chache baada ya wabunge kuumbuana kwa kuchukua fedha za safari bila kwenda wanakotakiwa, Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, ametaka Ofisi ya Bunge ichunguzwe haraka. Dk. Slaa ametoa...
10 years ago
Mtanzania11 Feb
Ufisadi Katiba Mpya
Na Fredy Azzah, Dar es Salaam
MCHAKATO wa kupata Katiba Mpya ya nchi unadaiwa kugubikwa na wingu la ufisadi hali iliyosababisha Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kuhoji tenda ya uchapwaji wa nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa kwa gharama ya Sh bilioni 6.
Hatua hiyo inakuja huku Watanzania wakiwa wanasubiri kupiga kura ya maoni inayotarajiwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, ambapo inaelezwa taratibu za manunuzi zilikiukwa kwa baadhi ya kampuni zilizopewa kazi hiyo kuwa...