Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge
Bunge
Na Bakari Kimwanga, Dodoma
MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali na fedha, yenye thamani ya Sh bilioni 10.8, unatarajiwa kulitikisa Bunge leo.
Hatua hiyo inatokana na mvutano ulioibuka mwishoni mwa wiki iliyopita miongoni mwa wabunge, kundi moja likitaka azimio hilo lipite na wengine wakipinga hatua hiyo wakisema ni sawa na ufisadi.
Hasara hiyo imetokana na sababu mbalimbali ikiwamo wizi na udokozi uliofanywa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-gdoLsOBQC3E/ViIMHpI825I/AAAAAAAIAhQ/FQkIlOjp1IM/s72-c/123105.jpg)
SERIKALI KULIPA MADENI YA WATUMISHI WA SERIKALI ZA MITAA.
![](http://2.bp.blogspot.com/-gdoLsOBQC3E/ViIMHpI825I/AAAAAAAIAhQ/FQkIlOjp1IM/s640/123105.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
IPTL kutikisa Bunge
HATIMAYE sakata lililosumbua Bunge lililopita na kuzungumziwa nje ya Bunge kuhusu ufisadi wa fedha zaidi ya sh bilioni 200 katika akaunti ya Escrow, ripoti yake imekamilika na imefikishwa kwa Katibu...
10 years ago
Mwananchi27 Jan
Ufisadi mpya kutikisa Bunge
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
Mjadala mkali kutikisa bunge
NA SELINA WILSON, DODOMA
MJADALA mkali unatarajiwa kutikisa Bunge leo, wakati wabunge watakapoanza kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka 2014/2015 iliyowasilishwa bungeni Alhamisi iliyopita.
Bajeti hiyo iliwasilishwa na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum, na kufuatiliwa kwa karibu na wadau wa maendeleo wa ndani na nje ya nchi huku baadhi yao wakipata fursa ya kuwepo bungeni ilipowasilishwa.
Hoja zinazotarajiwa kuteka mjadala huo ni pamoja na kodi ya Payee wanayokatwa wafanyakazi ambayo...
11 years ago
Tanzania Daima24 Jun
Hoja nane kutikisa Bunge leo
MBIVU na mbichi za bajeti ya mwaka 2014/2015 ya sh trilioni 19.8, inatarajia kujulikana leo wakati Waziri wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, atakapohitimisha hoja hiyo baada ya mjadala...
10 years ago
Tanzania Daima06 Sep
Hatima ya Bunge Maalum Sept. 15
HATIMA ya Bunge Maalum la Katiba, inatarajiwa kujulikana Septemba 15, wakati Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi wa ombi la zuio la muda lililowasilishwa na Saed Kubenea. Kubenea alifungua kesi hiyo akiiomba...
10 years ago
Habarileo02 Feb
Mahakama ya Kadhi, ripoti ya Msolla kutikisa Bunge
BUNGE linaendelea na mkutano wake wa 18, ambao kamati mbalimbali zitaendelea kuwasilisha taarifa kwa ajili ya majadiliano. Licha ya kamati za kisekta na zisizo za kisekta, kabla ya Bunge kuahirishwa wiki hii, pia Kamati Teule iliyoundwa kuchunguza na kuchambua Sera mbalimbali zinazohusu masuala ya ardhi, kilimo, mifugo, maji na uwekezaji kubaini kasoro zilizomo katika matumizi ya ardhi, pia itawasilisha taarifa yake.
10 years ago
Mtanzania12 Sep
Mjadala Mahakama ya Kadhi wazidi kutikisa Bunge
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
NA WAANDISHI WETU, DODOMA
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Abdallah Mtutura (CCM), amewataka wajumbe wa Bunge hilo ambao ni Waislamu, washirikiane kuipinga Rasimu ya Katiba kama Mahakama ya Kadhi haitaruhusiwa katika Katiba mpya.
Akichangia sura za nne na 10 za Rasimu ya Katiba bungeni mjini hapa juzi, Mtutura alisema kitendo cha baadhi ya wajumbe kuonyesha dalili za kuipinga mahakama hiyo, hakiwezi kukubalika kwa kuwa ni muhimu kwa Waislamu wanaoiamini.
“Mheshimiwa Makamu...
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Bunge lataka madeni TTCL yalipwe
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imewataka wanaodaiwa katika Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kulipa madeni yao kwa wakati, ili iweze kujiendesha kwa ufanisi zaidi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini...