Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatima ya Bunge Maalum Sept. 15

HATIMA ya Bunge Maalum la Katiba, inatarajiwa kujulikana Septemba 15, wakati Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi wa ombi la zuio la muda lililowasilishwa na Saed Kubenea. Kubenea alifungua kesi hiyo akiiomba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA

 Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini, tuliopendekezwa na Taasisi zetu na baadaye kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kushauriana na Rais wa Zanzibar kuwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, na kula kiapo cha utekelezaji wa jukumu hili kubwa.Tukiamini kuandaa Katiba Mpya kwa maridhiano ya Kitaifa kwa wananchi wote, tulipokea jukumu hili kama wajibu wetu Kitaifa.  Aidha tunaamini kwamba katika kupata maridhiano ya Kitaifa ni muhimu kuheshimu kila wazo na...

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba aungana na wasanii wengine wa Afrika kurekodi wimbo maalum wa siku ya Amani Duniani —Sept. 21

Tarehe 21 September kila mwaka huwa ni siku ya Amani Duniani, na mwaka huu baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo staa wa Tanzania wameandaa kitu maalum cha kuhamasisha Amani. Coke Studio Africa imewakutanisha baadhi ya wasanii wa Afrika akiwemo Alikiba wa Tanzania, Ice Prince (Nigeria), Maurice Kirya (Uganda), Wangechi (Kenya) na wengine, kurekodi wimbo wa […]

 

10 years ago

Habarileo

Uamuzi kupinga Bunge la Katiba Sept 15

MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Dar es Salaam, imepanga Septemba 15, mwaka huu, kutoa uamuzi wa pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), dhidi ya ombi la kusimamishwa kwa vikao vya Bunge Maalumu la Katiba linaloendelea mkoani Dodoma.

 

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK

>Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake.

 

10 years ago

Mtanzania

Hatima madeni ya Serikali kutikisa Bunge

Bunge

Bunge

Na Bakari Kimwanga, Dodoma

MJADALA kuhusu azimio la kuliomba liidhinishe kufutwa au kusamehe hasara na madeni yaliyotokana na upotevu wa mali na fedha, yenye thamani ya Sh bilioni 10.8, unatarajiwa kulitikisa Bunge leo.

Hatua hiyo inatokana na mvutano ulioibuka mwishoni mwa wiki iliyopita miongoni mwa wabunge, kundi moja likitaka azimio hilo lipite na wengine wakipinga hatua hiyo wakisema ni sawa na ufisadi.

Hasara hiyo imetokana na sababu mbalimbali ikiwamo wizi na udokozi uliofanywa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete: Hatima Bunge la Katiba Jumatatu

Rais Jakaya Kikwete amesema mkutano wake na viongozi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) utakaofanyika Jumatatu Septemba 8, mwaka huu ndiyo utakaotoa mwelekeo wa namna ya kulinusuru Bunge Maalumu la Katiba.

 

10 years ago

Mwananchi

Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo

Hatima ya kesi mbili za kupinga Bunge la Katiba, inatarajiwa kujulikana leo wakati Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam itakapotoa uamuzi wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani