Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK
>Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania12 Aug
Hatima ya Kibonde mikononi mwa Polisi
![Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Efraim-Kibonde.jpg)
Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde
Na Asifiwe George, Dar es Salaam
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo kwa sasa lipo katika uchunguzi dhidi ya mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM, ambao wameachiwa huru kwa dhamana.
Kamanda Wambura aliliambia MTANZANIA jana kwamba baada ya uchunguzi huo, iwapo watapatikana na hatia, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na...
10 years ago
Dewji Blog30 Nov
Hatima ya vigogo sakata la Escrow mikononi mwa Kikwete
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
BUNGE limeazimia kuwajibishwa kwa mawaziri Profesa Sospeter Muhongo, Profesa Anna Tibaijuka, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema, kutokana na sakata la uchotaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT) kwa kutaka mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wao.
Mbali na hao, yumo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania...
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
Katiba mpya ipo mikononi mwa watanzania
HATMA ya kupatikana au kutokupatikana kwa katiba mpya ya Tanzania imebaki mikono mwetu watanzania kwa kuipigia kura ya Ndiyo au Hapana. Tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya...
10 years ago
Mwananchi05 Sep
Kikwete: Hatima Bunge la Katiba Jumatatu
10 years ago
Mwananchi22 Sep
Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo
11 years ago
Tanzania Daima23 Mar
Wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba ipeni nchi yetu hatima njema
HOTUBA ya Rais Jakaya Kikwete imechukuliwa kuwa ni hotuba ya kuwashinikiza, kushauri na kuelekeza nini kifanyike katika mchakato wa kujadili rasimu ya pili ya Katiba mpya ndani ya Bunge Maalumu...
10 years ago
Mwananchi21 Aug
CCM yapigilia msumari hatima ya #Katiba, yabariki Bunge kuendelea bila #Ukawa [VIDEO]
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mbowe mikononi mwa polisi
JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...
10 years ago
Tanzania Daima23 Sep
Yondani mikononi mwa TFF
BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake Mart Nooij, limesema halitambui sababu za beki wa timu hiyo Kelvin Yondani kushindwa kwenda kambini,...