CCM yapigilia msumari hatima ya #Katiba, yabariki Bunge kuendelea bila #Ukawa [VIDEO]
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM),imepigilia msumari wa mwisho kuhusu sintofahamu ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba baada ya kukubaliana na mwenendo mzima wa Bunge hilo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Aug
Bunge la Katiba 'litaendelea bila Ukawa,' asema Sitta huku kanuni zikirekebishwa [VIDEO]
11 years ago
Habarileo04 Aug
Bunge la Katiba bila Ukawa
BUNGE Maalumu la Katiba litaendelea na vikao bila kujali uwepo au kutokuwapo kwa baadhi ya wajumbe waliojiundia kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, ambaye ndiye Mratibu wa Bunge hilo, alitoa kauli hiyo jana wakati wa mdahalo ulioandaliwa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Udasa).
11 years ago
GPL
NI KWELI BILA UKAWA BUNGE LA KATIBA HALITAATHIRIKA?
11 years ago
Mwananchi22 Jul
Wanasheria wahoji uhalali wa Bunge la Katiba bila Ukawa
11 years ago
Mtanzania07 Aug
Filikunjombe: CCM imekosea kuendelea na Bunge la Katiba

Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe
NA WAANDISHI WETU
MBUNGE wa Ludewa, Deo Filikunjombe (CCM), amesema kitendo cha wabunge wa CCM kuendelea na mkutano wa Bunge Maalum la Katiba ni matumizi mabaya ya wingi wao ndani ya Bunge hilo.
Pamoja na hayo, amesema haungi mkono hatua iliyofikiwa ya kitendo cha wajumbe wenzake wa CCM kuendelea na mchakato wa Katiba mpya kwa sababu swala la Katiba halina mshindi.
Alisema kitendo kilichofanywa na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kususia vikao vya Bunge...
11 years ago
Mwananchi04 Sep
Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK
11 years ago
Mwananchi05 Sep
Kikwete: Hatima Bunge la Katiba Jumatatu
11 years ago
Mwananchi22 Sep
Hoja kuamua hatima Bunge la katiba leo
11 years ago
Mwananchi26 Mar
Kanuni zaibua tena mdahalo Bunge la #Katiba, Ukawa wahoji kwa nini zibadilishwe [VIDEO]