Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatima ya vigogo sakata la Escrow mikononi mwa Kikwete

090201-N-0506A-087

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.

BUNGE limeazimia kuwajibishwa kwa mawaziri Profesa Sospeter Muhongo, Profesa Anna Tibaijuka, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema, kutokana na sakata la uchotaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, iliyokuwa Benki Kuu (BoT) kwa kutaka mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wao.

Mbali na hao, yumo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi na Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Hatima ya Bunge la Katiba mikononi mwa JK

>Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya kumaliza vikao vyake.

 

11 years ago

Mtanzania

Hatima ya Kibonde mikononi mwa Polisi

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Mtangazji maarufu wa redio nchini, Ephraim Kibonde

Na Asifiwe George, Dar es Salaam

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillus Wambura, amesema Jeshi hilo kwa sasa lipo katika uchunguzi dhidi ya mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Clouds FM, Ephraim Kibonde na mwenzake, Gadna Habash wa Times FM, ambao wameachiwa huru kwa dhamana.

Kamanda Wambura aliliambia MTANZANIA jana kwamba baada ya uchunguzi huo, iwapo watapatikana na hatia, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao, ikiwa ni pamoja na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwema, Mwamunyange mikononi mwa Kikwete

WAKATI shinikizo la kumtaka Waziri Mkuu Mizengo Pinda kujiuzulu ama awajibishwe kutokana na kashfa ya ukatili mauaji dhidi ya wananchi wakati wa Operesheni Tokomeza Ujangili likizidi kushika kasi, vumbi jipya...

 

10 years ago

Mwananchi

Sakata la Escrow vigogo watatu wafikishwa Kisutu

Sakata la Escrow lawapandisha kizimbani vigogo watatu kutoka Tanesco, TRA na BOT

 

10 years ago

Habarileo

Rais Kikwete kuzungumzia sakata la Escrow

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kulihutubia taifa leo wakati atakapozungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbowe mikononi mwa polisi

JOPO la Mawakili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), na wanachama wa chama hicho, leo wamepanga kumsindikiza mwenyekiti wao Freeman Mbowe aliyeitwa Makao Makuu ya Polisi kwa ajili ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Yondani mikononi mwa TFF

BENCHI la ufundi la timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake Mart Nooij, limesema halitambui sababu za beki wa timu hiyo Kelvin Yondani kushindwa kwenda kambini,...

 

9 years ago

Mwananchi

Sherehe 30 mikononi mwa Magufuli

Sherehe 30 za maadhimisho ya kitaifa zinazofanyika nchini kila mwaka huenda ‘zikachinjwa’ kutokana na kasi ya Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli ya kupunguza gharama na kubana matumizi ya Serikali yasiyo ya lazima.     

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watendaji Kinondoni mikononi mwa Takukuru

MHANDISI wa Manispaa ya Kinondoni, Baraka Mkuya, Ofisa Mipango Miji, Christopher na Ofisa Mtendaji wa Osterbay, Kata ya Msasani, aliyetajwa naye kwa jina moja la Mushi wanashikiliwa na Taasisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani