Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamiaji:Ripoti kuhusu wahamiaji 4

BBC imewafuata wahamiaji wanne na hii hapa mukhtasari wa safari yao ya kutafuta maisha mazuri nga'mbo

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Maelezo ya Mwanasheria wa Uhamiaji kuhusu sheria mpya za uhamiaji nchini Marekani

Mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie akizungumza na wanaDMV kwenye mkesha wa mwaka mpyaKatika mkesha wa mwaka mpya (2014-2015), Jumuiya ya waTanzania waishio Washington DC, Maryland na Virginia , kulikuwa na matukio mbalimbali.
Moja wapo lilikuwa ni maelezo ya mwanasheria wa uhamiaji Fatmata Barrie kuhusu maamuzi mapya ya serikali ya Marekani kwenye sheria za uhamiaji.
Karibu umsikilize

 

11 years ago

Habarileo

Uhamiaji wanasa kinara wa uvushaji wahamiaji haramu

IDARA ya uhamiaji mkoani Kilimanjaro, imefanikiwa kumkamata kinara wa biashara ya binadamu, Abdul Ndaishimiye (33) raia wa Burundi anayedaiwa kuvusha wahamiaji haramu kuingia nchini kwa wastani wa Sh milioni 2 kwa kila mtu mmoja.

 

11 years ago

GPL

IDARA YA UHAMIAJI MBEYA INAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 62 KUTOKA ETHIOPIA

Ofisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake jana. Wanahabari wakimsikiliza William Bambanganya. IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ethiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake… ...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERESHENI YA KUKAMATA WAHAMIAJI HARAMU NCHINI

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga (kulia) akimsalimia Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Sylvester Ambokile wakati alipowasili Makao Makuu ya Uhamiaji, Kurasini jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya ziara ya kikazi. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu, John Mngodo. Katika ziara hiyo, Waziri Kitwanga aliitaka Idara hiyo ya Uhamiaji kuanz rasmi kwa operesheni ya kuwakamata Wahamiaji Haramu nchini.Waziri wa Mambo ya Ndani...

 

11 years ago

Michuzi

IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu.

Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake

Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji Mbeya. Habari na picha
na Mbeya yetu.---------------------------- IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Mbeya inawashikilia wahamiaji Haramu 62 ambao ni Wahabeshi raia wa Ehtiopia pamoja na Watanzania wawili wakituhumiwa kuingia nchini kinyume na utaratibu.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisinin kwake  Afisa Uhamiaji Mkoa wa Mbeya, William Bambanganya...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mjadala mkali kuhusu wahamiaji EU

Tatizo la wahamiaji imekuwa agenda kuu na kuzusha mjadala mkali katika mkutano wa Mawaziri wa mambo ya nchi za nje wa muungano wa ulaya mjini Luxermbourg.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mawaziri wa EU wajadali kuhusu wahamiaji

Mkuu wa sera kwenye Muungano wa Ulaya anasema kuwa Ulaya ina wajibu wa kukabiliana na hali inayozidi kuwa mbaya kuhusu wahamiaji

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani